List yangu ya Stand-Up Comedians ninaowakubali zaidi

Mr Cooper.jimmy Fox.martin Lawrence.Trevor Noah.jimmy Carey...tchi tchi...ah tchi tchi John cena
 
Vile umesema
 
Yaani umewataja hao halafu the living legend Dave Chappelle umemuweka namba 10? Yaani huyo Kevin Hart stand up set zake simalizi hata dakika 2 lazima nihame me chanel.
 
Ana chekesha sana Sema jinsi anavyowasilisha vichek3sho vya hainivutii hata mm Kevin wa kawaida sana
 
Kevin Hurt kapigwa sana promo mpaka kufikia pale alipo, lakini sio one of my favourite. Dave Chappelle is a story teller, napenda connection yake audiences, halafu haogopi anasema chochote. I love him.
 
Huyu aliyepewa udokta juzi Dodoma ... Ni hatari ... Hasa pale aliposema watu wa public hawaji kwako ...kachukua namba moja palepale
 
ila pale alikutana na msomi wa kweli anayesimamia taaluma yake.
 
Kevin Hurt kapigwa sana promo mpaka kufikia pale alipo, lakini sio one of my favourite. Dave Chappelle is a story teller, napenda connection yake audiences, halafu haogopi anasema chochote. I love him.
mkuu ukiacha set zake fupu za youtube wapi naweza pata content zake nyingi zaidi
 
mkuu wewe inaonyesha ni mdau mkubwa mno wa churchill show. mi pia nawakubali mno wale jamaa vey creative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…