bernie mac nlimjua na kumkubali kwenye movie ya FRIDAY aliigiza kama pastor. May he rest in eternal peaceBernie Mac ni Marehemu, Mungu amlaze pema.
Dave hata mimi najitahidi sana kumuelewa lakini kwa mbinde sana, ila cha ajabu kwa kule US Jamaa wanamuelewa sana...huwaambii kitu kuhusu Dave...Mimi namuelewa sana Chris Rock, lakini fanya utafiti kule US Chris anakuja nyuma ya Dave.
Pia wapo kina Bill cosby, Eddy Griffin n.k..
Tuko pamoja kiongozi. Sithubutu kupitwa na Churchill Show!mkuu wewe inaonyesha ni mdau mkubwa mno wa churchill show. mi pia nawakubali mno wale jamaa vey creative
1. Dave Chappelle USAHabari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani.
Hawa ndio 5 bora kwangu
1: Trevor Noah- South Africa/USA
2: Patrick salavdo - Uganda
3: Sleepy David - Kenya
4: Profesor Hammo - Kenya
5: Daliso Chaponda - Malawi/ England
Honorable mentions:
Erick Omondi
YY- Kenya
Basketmouth- Nigeria
Michael Che
Deogratius - Cheka tu Tanzania
Who are your favourite stand up comedians??
mimi since nimejua kuna youtube sijawahi acha fatilia churchill show toka kipindi erick omondi bado yuko pale. yaani chipukeezy,butita,hammo,othuol othuol,consumater,yy,sleepy,ayeiyaa{rip}, mca tricky,mammito,jemutai,sammie kioko,mc jessy, na wengine wooote nimeangalia video zao hadi nimekariri maneno na bado i find them very funny. Mimi ndoto yangu ni kujipanga na kujichanga one day nikakae pale VIP mbele kabisa nishuhudie live recording. inshort najua kwenye watanzania watano wanaoifuiatilia churchill show kinagaubaga mimi ni mmoja wao. IM A PROUD CHURCHILL SHOW FAN mpaka sasa inabidi nisiwe fan niwe AIR CONDITIONER.Tuko pamoja kiongozi. Sithubutu kupitwa na Churchill Show!
Hahahah dahmimi since nimejua kuna youtube sijawahi acha fatilia churchill show toka kipindi erick omondi bado yuko pale. yaani chipukeezy,butita,hammo,othuol othuol,consumater,yy,sleepy,ayeiyaa{rip}, mca tricky,mammito,jemutai,sammie kioko,mc jessy, na wengine wooote nimeangalia video zao hadi nimekariri maneno na bado i find them very funny. Mimi ndoto yangu ni kujipanga na kujichanga one day nikakae pale VIP mbele kabisa nishuhudie live recording. inshort najua kwenye watanzania watano wanaoifuiatilia churchill show kinagaubaga mimi ni mmoja wao. IM A PROUD CHURCHILL SHOW FAN mpaka sasa inabidi nisiwe fan niwe AIR CONDITIONER.
Mkuu unajua "stand up comedians" inamaanisha nini? Mr. Bean ni stand up comedian???1. Dave Chappelle USA
2. Bill Burr USA
3. Kevin Hart USA
4. George Carlin USA
5. Rowan Atkinson UK
mkuu ukiacha set zake fupu za youtube wapi naweza pata content zake nyingi zaidi
Kuna muvi kadhaa pia ameigiza kama Pastor.bernie mac nlimjua na kumkubali kwenye movie ya FRIDAY aliigiza kama pastor. May he rest in eternal peace
YY ni miongoni mwa the greats hapa east africa sema ni underated sana yaani watu hawamchukulii kwa uzito na ukubwa wa kipaji chake kabisa. Nikitaja tano bora pale churchill show YY simuachi aiseeh1. Dave Chappele huyu hana mshindani aisee Jamaa ni fundi sana.
2.YY kenya
3.Deogaratious cheka Tu
4.
Fala ana matusi sana huyo! [emoji23] [emoji23]Eddie Griffin huyu ni balaa saana.
Hapa tuongeavyo naandika makala, I am a freelance writer, nikimaliza ntaishusha mkuu.Mbona hua haundiki tena mkuu? Au umesitisha kuteletea humu mada zako
Je freelance writer ndio nni?Hapa tuongeavyo naandika makala, I am a freelance writer, nikimaliza ntaishusha mkuu.
Walishampa show afanye kwa makubaliano asitukane akashindwa kujizua akawa anaporomosha matusi tu. Wakazima Mick Ila lijamaa likaendelea hivyo hivyo bila maiki.Fala ana matusi sana huyo! [emoji23] [emoji23]
Mkuu unajua "stand up comedians" inamaanisha nini? Mr. Bean ni stand up comedian???