Listen KLHN "Live"... testing

Listen KLHN "Live"... testing

Hii ni international bwana... inacheza masaa ishirini na manne... ikizimika basi I blame you!! LOL
 
nakupata sadaktwa,inasikika vizuri sana,kwa sasa nasikiliza wana maquiz du zaire na kibao chao cha makumbele,pasaka njema
 
Natumia TTCL broadband nalipia 95 tshs per MB sasa kusikiliza hii radio kunachukua hela nyingi tofauti na ku surf internet.

Tatizo ni la hawa jamaa wa TTCL na hiyo broadband yao. Wakati wanaintroduce service hiyo ilikwua na bei ya chini sana ambayo ilionekana kuwa ni nafuu, ilipoanza kupata soko, wamepandisha utadhani wanauza uhai
 
..sio makosa yao! hata bei ya unga wa mahindi imepanda since then!
 
..sio makosa yao! hata bei ya unga wa mahindi imepanda since then!

Kweli kabisa mkuu, lakini upandaji wa hawa ndugu zetu hauna formular. Kulipaswa kuwepo na rate inayoeleweka katika matimuzi lakini, mimi naitumia sana na sijajua rate hiyo kwa sababu kila siku fedha inaliwa kivyake
 
lakini kwa nini hii huduma kwa bongo ni ghali sana,mimi natumia broadband nalipia kama tsh 25,000/ kwa mwezi na ni unlimited time nafanyakila nitakacho.,je tunaweza kupata sababu za kitaalamu kuhusu hizi gharama kwa bongo.
 
Back
Top Bottom