Wenyewe wanakuambia eti ni brutal zero tolerance....
Hapa ni mwendo wa Zero Tolerance mpaka kwenye spelling na speech.
Hivi kuna tatizo gani kuamini kuwa Kuhani wakati alipohoji tamko la Malecela alikuwa hana hakika na tarehe bali alijua kuwa sio mwaka uliotajwa na Malecela? Kwa nini isiwe kuwa ni pale tu alipodaiwa ushahidi ndipo alipofanya ambacho wengi wetu tuliona uvivu, aka-google na kupata picha iliyomaliza ubishi? Kwa nini hamtaki kumpa benefit ya doubt? Badala ya kumsimanga kwa nini hamumshukuru kwa kutuletea picha? Hapo ndipo mnaponiboa.
Amandla.........
Recta said:Maneno hayo hapo juu yana makosa ya mwaka ambao Mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo. Mwaka 1990 Mwalimu hakuwa kiongozi wa CCM wala Taifa. Mwenyekiti wa CCM alikuwa Mzee Mwinyi. Mwaka 1990 kama ulivyoandikwa hapo ni sahihi tu kama unamaanisha siku ambayo tangazo hilo liliwekwa hapo juu.
Haiwezekani kuwa Mwalimu alisema anang'atuka kutoka kwenye uongozi ambao hakuwa nao.
Recta,
..Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM hata baada ya kuondoka ktk nafasi ya Raisi wa Muungano mwaka 1985.
..Mzee Mwinyi aliendelea kuwa Makamu wa Mwenyekiti CCM, huku Rashidi Kawawa akiwa Katibu Mkuu.
..Mwalimu alipong'atuka Uenyekiti wa CCM alimpendekeza Mzee Mwinyi kuwa Mwenyekiti, na Mzee Rashidi Kawawa kuwa Makamu Mwenyekiti.
..nimeangalia kwenye Wikipedia wanasema Mwalimu alingatuka CCM mwaka 1990.
..statement inayobishaniwa hapa kuna uwezekano mkubwa sana ilitolewa na Mwalimu ktk hotuba yake ya kung'atuka Uenyekiti wa CCM.
..ilikuwa hotuba nzito iliyosheheni historia ya Tanganyika,Tanzania,Tanu, na CCM. ilikuwa ni kama hotuba ya wosia wa Mwalimu kwa wana-CCM wenzake, na wa-Tanzania kwa ujumla.
..katika hotuba hiyo Mwalimu alifanya kazi kubwa kuelezea historia na mchango wa Mzee Rashidi Mfaume Kawawa "simba wa vita" katika harakati za uhuru, na uongozi wa Tanganyika na Tanzania.
..Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alitoa machozi wakati akimuelezea Mzee Kawawa kama kiongozi aliyemsaidia yeye Mwalimu tangu kabla ya uhuru, na ambaye wakati mwingine alitwisha lawama zilizopaswa kuelekezwa kwake Mwalimu, kwa serikali, au chama.
Zero tolerance in everything including code mixing!! So please, either English or Kiswahili. Not both in one sentence!
jmushi1 said:Joka Kuu,wikipedia kusema mwalimu aling'atuka 1990 haina maana kuwa mwalimu alisema maneno hayo mwaka huo...Hata hivyo inaelekea unataka kuthibitisha kuwa maneno hayo yalisemwa mwaka 1990,mkuu hilo linawezekana,lakini mwalimu alisema kuwa anang'atuka mwaka 1985,hilo ni forsure kutokana na kumbukumbu zangu,gazeti la uhuru siwezi kusahahu na ilikuwa topic kubwa sana kwani mwalimu akihutubia nyakati hizo kila mtu ansikiliza na ama kusoma.
Mkuu sipingani kuhusu hilo la 1990,maybe alizungumza pia wakati wa kujivua uenyekiti wa CCM,Lakini maneno kama hayo niko positive aliyasema mwaka 1985.
jmushu1,
..Mwalimu aliondoka serikalini mwaka 1985. lakini aliendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama--CCM. ni mpaka mwaka 1990 ndipo alipoondoka kwenye Uenyekiti wa CCM.
..kwasababu alisema "CCM imara ...." ndiyo maana naegemea zaidi kudai maneno hayo aliyatamka mwaka 1990 wakati akingatuka uongozi wa Chama.
..lakini siyo kama ninatoa madai hayo kwa kutegemea kumbukumbu zangu tu. wikipedia, hata kama siyo reliable sana, na hilo bango la wana-CCM yanazidi kunishawishi kwamba kauli hiyo ilitolewa mwaka 1990.
..kama unataka kuendelea kutetea hoja yako, ni bora ukafanya hivyo ukisaidiwa na vyanzo vingine vya habari, na siyo kutegemea kumbukumbu yako ya kusoma gazeti la Uhuru na kusikiliza redio.
Hivi kuna tatizo gani kuamini kuwa Kuhani wakati alipohoji tamko la Malecela alikuwa hana hakika na tarehe bali alijua kuwa sio mwaka uliotajwa na Malecela? Kwa nini isiwe kuwa ni pale tu alipodaiwa ushahidi ndipo alipofanya ambacho wengi wetu tuliona uvivu, aka-google na kupata picha iliyomaliza ubishi? Kwa nini hamtaki kumpa benefit ya doubt? Badala ya kumsimanga kwa nini hamumshukuru kwa kutuletea picha? Hapo ndipo mnaponiboa.
Amandla.........
Na hii kitu imejirudia mara nyingi hapa mpaka inachosha na kuwa kero kwa members wengi wengine. Kibaya inakuwa inatumika kama mechanism ya ku-derail kitu cha msingi kinachotaka kujadiliwa. Wale wasiovumilia na wepesi wa kufyatuka kuikosoa tabia hiyo, ndiyo wanaoishia kuwa banned. Kuwa sophisticated na kutumia hiyo sophistication kutukana wengine kichinichini kuwakwepa mods ni almost sawa tu na yule anayeamua kutumia matusi massfullnondo na kuwa banned.
Mtu kama unafahamu mtu fulani kakosea pahala ila wengine wanaonekana ku-overlook hizo fact zake, waelimishe wengine. Mambo ya kutaka kusoa kosoa tu pasipo haja wala nia ya kuelimisha wengine ni uzandiki ambao naamini wengi wetu nia yetu ni kuondokana nao. Mtu unafahamu kitu, be the patriotic you kuelimisha wengine katika yale wasiyoelewa.
Jmushi, watu wana haki ya kuuliza kila kitu na kufanya hivyo ni jambo la maana kama unavyosema katika kuondoa mazoea yetu ya kukubali kila kitu alimuradi tu kiongozi au mtu fulani hivi ametamka, hivyo kuacha mengine ambayo yanaweza kuwa muhimu ila kwa sababu siyo central theme ya mjadala, yanakuwa overlooked, hali yangeweza kuleta changamoto na kuweka sawa baadhi ya mambo na kunakishisha zaidi mjadala huo.
Sina shida na mtu akifanya hivyo kwa nia ya kuelimisha wasomaji. Uzuri wa mambo ni kwamba tuko wengi hapa na uwezo wetu kung'amua lengo haswa katika huu ukosoaji unatofautiana. Unapofanyika kwa nia ya njema unafahamika na pale unapofanyika kwa dhamira ya kukatisha wengine tamaa, unaeleweka pia. Hivyo tufanye hivyo si kwa nia ya kutetelesha mijadala iliyo mbele yetu bali kwa niya ya kuhimiza utiliaji mikazo wa facts zinazokuwa presented mbele yetu na wahusika katika hii mijadala, again, kwa lengo la kuelimisha umma.
SteveD.
Fundi Mchundo,
Nimekusoma hapo, ninaanza kuelewa kwa nini mara nyingi unanielewa na usiponielewa hatufikii ku abusiana.
Nadhani wewe uligundua zamani sana kwamba huyu mtu hana anachojua zaidi ya elimu ya ukubwani ya kupekechua pekechua HowStuffWorks.com na vijarida vya Science For Dummies, na Answers.com!
Kina YNIM wanasema wataalam wao, kina Augustoons, ma JF doctors wamekimbia "unnecessary criticisms."
Unakimbia criticims za elimu ya Ask Jeeves? Unasema umefundishwa na Shivji, halafu uingie mitini kwa sababu ya challenges za mtu wa kupelasa pelasa Wikipedia.com?
jmushi1,
..huu msamiati "KUN'GATUKA" ambao origin yake ni lugha ya Kizanaki nakubaliana na wewe kwamba Mwalimu aliutamka kabla ya 1985.
..nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba Mwalimu hakukurupuka tu na kuachia uongozi kwa staili ya Edward Lowassa.
..lakini kinachozungumziwa ktk mjadala ni kauli ambayo KUHANI ametuletea mpaka ushahidi wa kutoka CCM kwenyewe.
Wakulu Kuhani na Fundi, huu mjadala wa kunga'tuka umetosha sasa, aliyeuliza ni Mkulu Mwanakijiji, na akajibiwa kwa facts na wewe Kuhani, akakubali kiungwana kwamba ameridhika na facts zako on the ishu, case ilipaswa kuwa closed na ku-deal na hoja zingine muhimu zaidi ili tuelimishane zaidi kuhusu maneno mengi yaliyosemwa na Mzee Malecela.
- Binafsi ninaheshimu sana fact uliyoileta kwani ilipaswa kumaliza huu ubishi.
Respect.
FMES!
jmushi1,
..huu msamiati "KUN'GATUKA" ambao origin yake ni lugha ya Kizanaki nakubaliana na wewe kwamba Mwalimu aliutamka kabla ya 1985.
..nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba Mwalimu hakukurupuka tu na kuachia uongozi kwa staili ya Edward Lowassa.
..lakini kinachozungumziwa ktk mjadala ni kauli ambayo KUHANI ametuletea mpaka ushahidi wa kutoka CCM kwenyewe.
FMES,
..asante sana kwa mchango wako hapo juu.
..ushahidi aliotoa Kuhani unapaswa kupingwa kwa ushahidi mwingine wenye uzito kama unaolingana.
- Mkulu jokakuu, ni kweli Mwalimu alisema hili neno mara nyingi sana kabla ya mwaka 1985, ingawa neno kung'atuka as kunga'tuka, alilisema mwaka 1982 tena siku hiyo pia aliongelea neno moja la kizanaki kwamba "mficha ugonjwa hufichuliwa na kifo" hebu wazanaki hapa lisemeni hili neno kizanaki, nakumbuka alsiema something like kilimbwiri kilmbworu....na kuendelea samahani kama nimekosea lakini ninaikumbuka ile siku sana, mpaka akapachikwa jina la haambiliki.
- Hii siku ndio kwa mara ya kwanza Mwalimu aliya-introduce haya maneno ya kizanaki kwetu taifa na yakaanza kutumika sana hasa kwenye kipindi cha "Mikingamo" unakikumbuka? na mazungumzo baada ya habari.
- Lakini maneno ya kupumzika uongozi Mwalimu ameyasema mara nyingi sana hata kabla ya 80s, lakini sio neno kunga'tuka.
Respect.
FMES!
Ahsante brother / dada Field Marshall.
Nimekusikia na nitakoma hiyo mada, japo nikueleze kifupi tu, kwamba utakuwa uliona Mkuu Mwanakijiji aliliendeleza "kombe la mbuzi" hata baada ya kushauriwa na baadhi ya wachangiaji kama vile Fundi Mchundo kwamba ameleta ubishi usio maana.
Na hivi tunavyoongea kuna JMushi bado analiendeleza aking'ang'ania tarehe za mwaka 1985, wakati the immediate mjadala ulikuwa utata btn 1990 na 1992. Completely off topic, tena anakataa independent sources za Joka Kuu, halafu yeye vyanzo vyake ni, well, kumbukumbu zake!
Nisisitize, ahsante kwa mwongozo wako, japo nimedhani umelalia upande mmoja.
Ndimi mwenzako katika amani.
And then ukasema...Nyerere aling'atuka na kusema nang'atuka Agosti, 1990. Period
Kwa hiyo, Mwanakijiji, Nyerere angeweza kung'atuka 1985 na 1990 halafu 1992 ndio akaja kusema "nang'atuka," miaka saba baadae? Miwili baadae? Jamani, hizi obfuscation za mada ndio haya ya kombe la mbuzi sasa!