Liston Katabazi kuiburuta TFF Mahakamani na kuidai Sh Milioni 700

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka.

Kwa mujibu wa Katabazi ameifungulia kesi TFF katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, yenye namba 14708-2024.

Katabazi alisema kesi dhidi yake na TFF inatarajiwa kusikilizwa Julai 17, mwaka huu na Hakimu Mkuu Mkazi, Anna Maguto.

Katabazi alisema katika kesi hiyo anawakilishwa na wakili, Peter Majanjala wa Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC).
 
Haya majina ya akina Peter wana unasaba na uana sheria...
Peter Kibatala
Peter Madeleka na
Peter huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…