Lisu kiboka: sikiliza ujasiri wa kuongea na shahidi/ impeachment

Lisu kiboka: sikiliza ujasiri wa kuongea na shahidi/ impeachment

Mpuuzi wewe. Unajua hata mfungwa mtarajiwa? Hujui kesho yako itakua vipi. Ulitegemea polepole yatamkuta yaliomkuta?
Wahalifu kama nyie dawa yenu ni ile waliyokutana nayo nyumbu wenzenu Oct 29 hadi leo mnajilizaliza, nyie siyo wa kuwaonea huruma ni kuwanyoosha hadi akili ikae sawa
 
Wengine hapa ni kama machangu.... wanataka wapewe attention. Dawa ya watu kama hawa ni kutojibu chochote anachoandika au kumweka kwenye ignore list. Akikosa watu wa kufanya interraction hataandika tena ujinga.
Aisee kenge kama hizo nikuzipita shwaaaa bila kuziangalia lazim ziweke mpira kwapani ukizijibu ni kuzipa attention tu
 
Mnakodi watu wanakuja kupga mwano mahakamani?
Bado akili hazijawakaa vizuri
We unadhani wale majaji waliwahi kuona vilio vingapi?
Asilimia 90 ya polisi walitaga form four. Wengi ni mabogasi na maskini sana. Kimapato na kiakili. Ni kama mbwa huwa hata hawajielewi. Ni kazi ya waliolaaniwa ndo maana huwa wanatumwa tu kama majini au mbwa. Wewe ulitaga yai. Bisha? Na hapo unakaa kwenye kijumba kimechoka na hali yako mbaya. Maboda boda wanakula mkeo wewe ukiwa lindo. Huwezi kuwa akili kamwe. Huwezi. Na huo ni mwendelezo hadi kwa watoto wako.
 
Mimi na wewe nani ana elimu ndogo?

Unaandika "ata" badala ya "hata"

Unaweka nukta katikati ya sentensi na mwisho wa sentensi huweki nukta, kati yangu mimi na wewe nani elimu yake ndogo?

Nyumbu we.
IMG_20260213_224754.jpg

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Sifa kuu ya uchawa ni illiteracy.
 
Kwenye hili swala kujitetea mwenyew amevurunda angewaacha mawakili wake wafanye hiyo kazi…
 
Back
Top Bottom