Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
849
Reaction score
1,482
Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo.

Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.

L.jpg
 
Tatizo hao marais wa hivi vinchi bado wana fikiri Nato ndio kila kitu hawafikirii hiyo Urusi wanayoisema itasarenda ina mabomu ya Nuclear kuliko hizo nchi za Nato zote combined including baba yao Marekani. Na kikiinuka ile yenyewe wao pia watafutika duniani
 
Una uelewa mdogo sana, endelea kupambana na Dp World labda utaambulia chochote.
 
Tatizo hao marais wa hivi vinchi bado wana fikiri Nato ndio kila kitu hawafikirii hiyo Urusi wanayoisema itasarenda ina mabomu ya Nuclear kuliko hizo nchi za Nato zote combined including baba yao Marekani. Na kikiinuka ile yenyewe wao pia watafutika duniani
Una uhakika unachoongea au umeandika kwa hisia na mihemko
 
Putin kashindwa ni kivuli chake tu je mataifa 32 yakiingia uwanjani unafkiri kule russia kutabaki nini kama si mavumbi matupu
unaongea huku umeshiba sembe kwa maharage sasa unakuja kutapika humu
kwa hiyo kwa akili zako hizo za chooni unafkiri hao nato na marekani hawana akili wakajichanganye kuivamia urusi unajua nini kitakachotokea baada baada kuvamia urusi .........aiseee em nenda chooni kwanza .....
yaani una nyumba yako umejenga umeweka fensi na familia ipi ndani alafu wahuni wanakuja kufanya fujo getini wewe kama baba uta waacha tuu waendelee kuvunja geti kuingia ndani na una silaha zipo ...[emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23]
we kweli hamna kazi
 
Urusi apigwe tu anavurugu amani ya dunia na vitisho vyake vya nuke's, ni mpumbavu tu atakayeamini Urusi ataishinda dunia kwenye vita vya nuclear.
 
Urusi apigwe tu anavurugu amani ya dunia na vitisho vyake vya nuke's, ni mpumbavu tu atakayeamini Urusi ataishinda dunia kwenye vita vya nuclear.
Urusi na western nations zina watu wa hovyo hovyo walio selfish na wasiojali thamani ya uhai wa binadamu.
 
Back
Top Bottom