Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

sijui umeandika nini hufahamiki
 
Ww huyo unaijua urusi kuliko lithuania , kesho wakikuita nyan unanuna ? Huna research unaropoka tu
 
Hii reply yko ni jibu tosha kuwa ww ni imbecil
Fuckin coward keyboard warrior mbona hauendi kuandamana punk.. ...maandamano yaliitishwa mkajifungia then unaongea ni hapa stupid...
 
Hawajamshindwa, ila hawawezi ku deploy full power kama ukraine si mwanachama
Hata km wata deploy bado kazi ni ngumu na haitatokea hata siku moja Ukraine kukubaliwa kujiunga na NATO ktk kipindi hiki cha vita labdanum wakati mwingine. Km ikilazimika kujiunga basi WWW3 will be apparent. Na hiki ndiyo NATO hawataki au wanaogopa kisitokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…