Lithuania mwanachama wa EU aruhusu bidhaa za Urusi kupita kwenye ardhi yake kuelekea Kalinigrad

Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]

Putin anatupa Raha sana

So zile sanctions ni za kwenye makaratasi tu kwa ground mambo ni tofauti!?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kachagua fungu lililo jema, bahati yake
 
Wahuni wanakwePa lawama wameona noma wasije kuja kutandikwa makofi ofisini kama kwa Raisi wa Sri Lanka
 
Limezungukwa na nchi wa EU halina mpaka wa moja kwa moja na Urusi lazima apitishe Lithuania then Belarus ndio afike huko
Tunashukuru kwa kutufumbua macho ktk hiki. Kwa hiyo kumbe ni jimbo la Russia lakini lipo mbali na Russia yenyewe. Sasa ningependa kujua kama kuna njia za maji hasa Bahari kutoka Russia Kwenda Kaliningrad na kama hazina vizuizi kisheria.
 
Uwezo mdogo wa kufikiri ulimponza UKRAINE, Taifa limesambaratika kabisa.
 
Mojawapo ya kikao Cha UN kilichohitishwa na West kulaani Operation ya Urusi Ukraine, Sri Lanka alikuwa wa kwanza kupiga mwingi na wakati Taifa linategemea Uhuzaji Chai Urusi wastawishe Uchumi.
Urusi alichofanya ni kufunga tu soko la zao la Chai.
Serikari ime collapse! US wameshindwa kuisaidia. Bora Taifa langu lilikuwa Neutral.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…