little kenya ya 3 kwa kuwa na madeni makubwa kwa afrika toka china, kushika usukani kwa madeni ifikapo 2022

Siku ukifaulu kutoka nje ya kitongoji cha Tandale ndio utajua kuna dunia nyingine huku nje, cha msingi Kenya sasa hivi tunapaa tena kwa turbo charge, aisei hivi majuzi nilifanikiwa kuhusika kwenye mradi uliohusu kutembelea maeneo kadhaa Kenya, nilishangaa sana nchi yangu inapaa maana kwa mtu aliyetoka nje na kurudi baada ya kama miaka kumi, anaweza akapotea njia.

Mnapaa eh???mnapaa kwenda mwezini[emoji16][emoji16].

Mimi najua kuna dunia nyingine kubwa sana,hiyo dunia sio nairobi au kenya kwa ujumla wake.
 
Sasa kwann China ikaikazia zesco ya Zambia wakati wanashika nafasi ya 5 na wakaacha top 4 kama Angola, Ethiopia, Kenya and Congo DRC

Jibu ni simple hakuna vya maana kufidia mkopo,uone kwanini baada ya mkopo kushindikana kulipa wakashika uwanja!!!!!!uwanja,what a f*ck!!!??
 
Sasa kwann China ikaikazia zesco ya Zambia wakati wanashika nafasi ya 5 na wakaacha top 4 kama Angola, Ethiopia, Kenya and Congo DRC

Hili swali muhimu sana, linahitaji utaalam kulijibu na sio mazumbukutu ya kila siku maana hawataelwa unauliza nini.
 
Stop beating around the bush. You tell me
Achana naye anamaanisha rambirambi za MV Nyerere hahahaaaa...hivi wakenya wangeshiriki ktk vita ya ukombozi kusini mwa bara la Afrika kama tulivuofanya Tz sijui ungekuwaje humu JF dah..
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Siku ukifaulu kutoka nje ya kitongoji cha Tandale ndio utajua kuna dunia nyingine huku nje, cha msingi Kenya sasa hivi tunapaa tena kwa turbo charge, aisei hivi majuzi nilifanikiwa kuhusika kwenye mradi uliohusu kutembelea maeneo kadhaa Kenya, nilishangaa sana nchi yangu inapaa maana kwa mtu aliyetoka nje na kurudi baada ya kama miaka kumi, anaweza akapotea njia.
Are you still sleeping at kibera? Poor Kenyans
 
Achana naye anamaanisha rambirambi za MV Nyerere hahahaaaa...hivi wakenya wangeshiriki ktk vita ya ukombozi kusini mwa bara la Afrika kama tulivuofanya Tz sijui ungekuwaje humu JF dah..
Ah. Kumbe wakenya wajinga hivi
 
Not just that, the earthquake victims too. Since it makes sense for somebody to claim Tanzania, a country that can't fully finance a budget less than a half that of Kenya, can actually lend Kenya money.
 
Why focus on Chinese debt? A debt is a debt, I wonder why the Chinese one is special. Bring us the list of African countries and their total external debt then we can talk.
Umepakwa nnya tafuta njia ya kujifuta sio kuwatafuta wengine walio nayo, pathetic DNA WALAHI
 
Not just that, the earthquake victims too. Since it makes sense for somebody to claim Tanzania, a country that can't fully finance a budget less than a half that of Kenya, can actually lend Kenya money.
FDD2D919-E0B1-40EB-844D-9280D4170590.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ah. Kumbe wakenya wajinga hivi

Jamani sio wote ni wachache sana. Hapa nilipo niko na Wajaluo toka Kenya yaani ni wazungu, watu wa watu hawana makuu kama wenzio wakikuyu...wakikuyu kwa kujigamba ni kawaida yao...check hata baadhi yao ambao ni mameneja kwenye hotel za kitalii huko bongo wanajigamba sana na wezi wa wake za watu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Not just that, the earthquake victims too. Since it makes sense for somebody to claim Tanzania, a country that can't fully finance a budget less than a half that of Kenya, can actually lend Kenya money.

Hawa kwanza naskia walizila hela za rambirambi, yaani ni mijitu na mijizi iliyopitiliza unyama.
 
Back
Top Bottom