mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Siku ukifaulu kutoka nje ya kitongoji cha Tandale ndio utajua kuna dunia nyingine huku nje, cha msingi Kenya sasa hivi tunapaa tena kwa turbo charge, aisei hivi majuzi nilifanikiwa kuhusika kwenye mradi uliohusu kutembelea maeneo kadhaa Kenya, nilishangaa sana nchi yangu inapaa maana kwa mtu aliyetoka nje na kurudi baada ya kama miaka kumi, anaweza akapotea njia.
Mnapaa eh???mnapaa kwenda mwezini[emoji16][emoji16].
Mimi najua kuna dunia nyingine kubwa sana,hiyo dunia sio nairobi au kenya kwa ujumla wake.