Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Sakho umfananishe na Tepsie??? KhaaaaahYa nini sasa unzani uyo na sakho nani fundi?
Kiufupi uyo dogo wajumlishe Nkane+Ambundo+sakho+Banda .ndo unampata tepsie Evans
Asa weka statistics tuone sakho hakuna alichomzidi Tepsie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Sakho umfananishe na Tepsie??? Khaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tepsie yupi?? Huyu wa Azam?? Ndo amzidi Sakho?? Wee unachachawa vibayaa.Asa weka statistics tuone sakho hakuna alichomzidi Tepsie
Labda leseni ya kufanya kazi nchi na meno ya sakho machafu
Ila talent vyenga ufundi sako hampati tepsie ata robo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo hujui chochoteeee.Nabishana na mtu asiejua mpira tumia ubongo vizuri utaelewa
Mtoto mdogo sn Tepsi .kuna jamaa nakaa nae hapa wamecheza wote Azam huwa wanakuja washkaji zake hapa home ukimwona huyo Tepsi unajua Tu ni katotoHuyu Tepsie bado, kama kaongopa umri hajazidisha hata mi 5.
Wee name nitoleee upuuzi wako, tepsie Evance hana hata kitu cha kumkuta sakho, poleeeeeehJaribu kuwaangalia hutabishana tena
Singano na Tepsie ni Mavi na marashiHuyo dogo ni mzuri ila ana mambo mengi uwanjani hadi anaharibu.mpira wa siku hizi sio vyenga tu.zile anao anao zimeshapitwa na wakati.Mimi simtofautishi sana na Ramadhani Singano alivyokua.anatakiwa kubadilika kama anataka kufika mbali.