Little Tanzanian magician - Tepsie Evance

Wameona aibu naona hadi national team wamemuita
 
Called
IMG_20220822_194514.jpg
View attachment 2331558
 
Ya nini sasa unzani uyo na sakho nani fundi?

Kiufupi uyo dogo wajumlishe Nkane+Ambundo+sakho+Banda .ndo unampata tepsie Evans
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Sakho umfananishe na Tepsie??? Khaaaaah
 
Asa weka statistics tuone sakho hakuna alichomzidi Tepsie

Labda leseni ya kufanya kazi nchi na meno ya sakho machafu

Ila talent vyenga ufundi sako hampati tepsie ata robo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tepsie yupi?? Huyu wa Azam?? Ndo amzidi Sakho?? Wee unachachawa vibayaa.
 
Nabishana na mtu asiejua mpira tumia ubongo vizuri utaelewa
 
Huyo dogo ni mzuri ila ana mambo mengi uwanjani hadi anaharibu.mpira wa siku hizi sio vyenga tu.zile anao anao zimeshapitwa na wakati.Mimi simtofautishi sana na Ramadhani Singano alivyokua.anatakiwa kubadilika kama anataka kufika mbali.
 
Wee name nitoleee upuuzi wako, tepsie Evance hana hata kitu cha kumkuta sakho, poleeeeeeh
Sakho ana nini alichomzidi Tepsi

Let's facts speak themselves

Kiatu cha gori bora?

Ivi sakho na Banda wanaweza pata number Azam?
 
Huyo dogo ni mzuri ila ana mambo mengi uwanjani hadi anaharibu.mpira wa siku hizi sio vyenga tu.zile anao anao zimeshapitwa na wakati.Mimi simtofautishi sana na Ramadhani Singano alivyokua.anatakiwa kubadilika kama anataka kufika mbali.
Singano na Tepsie ni Mavi na marashi
 
Back
Top Bottom