LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

Messsi ni habari nyingine kabsaaa kulikuwa na akina Pele mkongwe wa dunia alimpinga MESSI na mwishowe akampa heshima sembuse wewe CHOMBA ambaye hata Wanyama hakujui

hahahahahahahahahahahahha!!!!!!
 
Mkuu kwani wewe timu gani hebu tuwekane waz maana unaichukia sana.barca

mara ya mwisho kushiriki UEFA alimfungaga Barca pale Italy goli 2-0 akadhani amepita, alivyoenda Camp Nou akapigwa 4-0, na Messi akaweka wavuni bao mbili.
 
Line-up confirmed:
Ter Stegen, Piqué, Rakitic, Sergio, Iniesta, Suarez, Messi,
Neymar, Mascherano, Alba and Alves
 
Endelea kujipa moyo kwa chuki zako kwa Barca, leo Barca akitolewa Invisible nipige Ban ya Wiki nzima, leo panachimbika Allianz Arena, hatoki mtu, na kombe tunabeba.

Hahaaa loh huyu haipendi Barca kwa chuki binafsi zake tu zisizo na msingi Leo Barcelona lazima washinde Bayern ni wachuchu tu kwa Barca.
 
Last edited by a moderator:
Kila heri Bayern Munich, nitafurahi sana mkiwafunga Barcelona maana kelele zimezidi.
 
Bayern munich ashatolewa since 1st leg mbona hilo lipo wazi kama upara wa "jonjo-shelvey".
 
Mkuu kwani wewe timu gani hebu tuwekane waz maana unaichukia sana.barca


mimi ni Mshabiki wa ile klabu yenye makombe 18 ya kimataifa na 7 kati ya hayo ni ya ubingwa wa Ulaya.

pia ni msemaji wa klabu hiyo hapa Africa ya Mashariki, fahamu pia Klabu hio ndio imewahi kuwa na wachezaji nyota zaidi ktk historia ya Soka...
 
litarudi tu,ila uzuri Barca mpaka sasa wanaongonza 3-1
 
Back
Top Bottom