Messsi ni habari nyingine kabsaaa kulikuwa na akina Pele mkongwe wa dunia alimpinga MESSI na mwishowe akampa heshima sembuse wewe CHOMBA ambaye hata Wanyama hakujui
hahahahahahahahahahahahha!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messsi ni habari nyingine kabsaaa kulikuwa na akina Pele mkongwe wa dunia alimpinga MESSI na mwishowe akampa heshima sembuse wewe CHOMBA ambaye hata Wanyama hakujui
Mkuu kwani wewe timu gani hebu tuwekane waz maana unaichukia sana.barca
Endelea kujipa moyo kwa chuki zako kwa Barca, leo Barca akitolewa Invisible nipige Ban ya Wiki nzima, leo panachimbika Allianz Arena, hatoki mtu, na kombe tunabeba.
hawajapona
Hivi Mtu unaanzaje kuichukia Barca?
Kila heri Bayern Munich, nitafurahi sana mkiwafunga Barcelona maana kelele zimezidi.
pole sana Mkuu.
Mkuu kwani wewe timu gani hebu tuwekane waz maana unaichukia sana.barca
utakuja kufa mapema kisa unaichukia Barca.