LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..

Unachoongelea hapo ni historia ndo inayokusumbua but Barcelona ya sasa na ile ya 7 ni tofauti kabisa game ya leo ukiiangalia barca ilicheza kipind cha kwanza baada ya kupiga magoal mawili walijua kazi imeisha na kilichobaki kwenye vichwa vyao ni kufikilia game lijalo Altilitico ambayo ni muhimu kwao mpaka sasa

Ribery na Roben ni kweli wange weza kubadili hali ya mchexo ila si kigezo cha Bayern kupigwa na Barcelona bali kiuchumla Barcelona wako vizur hasa mbele NSM ni hatari duniani
 
waeleze mkuu, waelezeeeeee!!!!!
 
sawa mkuu unaizungumzia klabu iliyotoka hivi majuzi kupigwa na genoa 3 na ambayo kwenye mechi kumi zilizopita imeshinda mbili ok nimekupata mkuu na asante kwa kushangilia jamvi la wageni

na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.

labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.

najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.

so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.

karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita
 
waeleze mkuu, waelezeeeeee!!!!!

haya inatosha mkuu vaa shati sasa then
andaa thread yako ya LIVE iliokaa kishabiki bila kificho ikimtakia Old Lady ushindi hapo Bernabeu...

ukumbi wako Zumbe
 
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..

Msimu jana wakat wanakula goli nne pale kwao kutoka kwa madrid hao hawakuwepo??wakat wanaitoa man u iliyochoka kwa mbinde hao hawakuwepo??swala ni mfumo siyo wachezaj waliopo
 
Mkuu barcelona ni timu nyingine kabsa ngoja nikukumbushe kidogo maana hata mie kutajabwachezaji wa zamani naweza ila sio mda wake Kuanzia msimu wa 1997-1998 mpaka msimu wa 2005-2006 hyo ni miaka 9 ambayo unahis wewe barca alikuwa kama ndanda fc sasa ndani ya miaka hiyo 9 barca kanyanyua la liga mara 4 na kamaliza la liga mshindi wa pili mara 2 sasa kwa takwimu hizo unaona kabisa barca ni ngumu sana kukaa miaka 10 bila kubeba ndoo Na huyo valensia wako ndani ya miaka hyo 9 kabeba ndoo mara 2 na huyo deportivo wako mara 1 na real madrid mara 2 sasa nani ndanda hapo huyo aliyenyanyua mara 4 au hao unaowasifia kumbe hakuna lolote NAOMBA UJE KIVINGINE KAMA ULIVYOSEMA maana wakat wewe unaichukia barca wenzio JUNE tunabeba ndoo berin wewe hata urope haupo na tangu lini mthailand akawa mzamini wa timu
 
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..
hiyo sio sababu maana jamaa mbona wamecheza poa sana zaidi ya hao akima roben wako na inawezekana wangekuwepo ndo wangeoigwa mengi
 
Viva Barca
 
Attachments

  • 1431495889357.jpg
    1431495889357.jpg
    10.6 KB · Views: 108
haya inatosha mkuu vaa shati sasa then
andaa thread yako ya LIVE iliokaa kishabiki bila kificho ikimtakia Old Lady ushindi hapo Bernabeu...

ukumbi wako Zumbe

wewe anzisha tuu, mimi nitakuwa mtu wa ku-comment kama kawaida. Leo nipo Juventus.
 
Msimu jana wakat wanakula goli nne pale kwao kutoka kwa madrid hao hawakuwepo??wakat wanaitoa man u iliyochoka kwa mbinde hao hawakuwepo??swala ni mfumo siyo wachezaj waliopo

Na hata Bayern wangekuwa kamili, Barca asingecheza mpira ule, na yeye angebadilika vilevile.
Kuwepo kwa majeruhi kumewatia moyo wale ambao hawapati namba kudhihirisha uwezo wao. Kilichowaangusha ni ujinga wao Wajerumani, wameacha kumpa kazi kocha ambae atakinoa kikosi kiwe kikali na kumpa kazi yule Guardiola ambae anapenda kucopy na kupaste vya wenzie.
 
na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.

labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.

najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.

so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.

karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita

Punguza ushabiki,kwanini Barcelona ana makombe mengi kuliko,Valencia(Mandieta,Sanchez),Dipotivo(ya kina Diego Trisan,Makaay kina Ruben Baraja)
 
Bavaria au Bayern Munich kutoka ktk mji wa Munich nchini Ujerumani leo wanawakaribisha Barcelona ktk dimba la Alianz Arena ktk mechi ya marudiano hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya.

Barca akiwa na mtaji wa magoli matatu aliyoyapata maji ya jiooni ground kwake Nou Camp ni sawa na kusema kaweka booking ya Hotel ila hajakubaliwa na Demu...kwani Demu mwenyewe anajielewa na sio wa kushika mkono kama mademu wa EPL.

Barca inabidi wajipange la sivyo watabakwa leo.
bayern ktk uwanja wao walishambamiza mtu goli 7 kisha wakambandua mwingine goli 6, na hata Barca hapa mara ya mwisho kufika alinanihiwa goli 3 ktk mechi ya marudiano baada ya ile ya mwanzo iliomalizika kwa Barca kula goli 4·

Forza Milan...

Sasa utakuwa umeshayameza maneno yako. Pia utakuwa umekubali kwamba Neymar kapokea mikoba ya Ronaldinho. Na kwamba Messi hakunaga.
 
Mi nakwambia Gang Chomba ushabiki wako kuna kipindi utakushushia heshima humu ndani.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Bayern wamekumbuka shuka kukiwa kumekucha! Mechi ya kwanza Gurdiola alitaka kuwaonyesha barca kuwa yeye ndiyo mtaalam wa ball possession na kweli alionyesha! lakini shots on goal mechi ya kwanza ilikuwa 00! Ushamba wa ball possession jana aliachana nao, walikuwa wanapiga mpaka mipira marefu na walikuwa na shots on goal nyingi na shots on target nyingi kuliko barca hivyo kushinda mechi. Wangekuwa na game plan kama hiyo kwenye mechi ya kwanza habari ingekuwa nyingine kabisa! Sasa wajipange msimu ujao! Malimbukeni wa ball possession wa old traford wasiposhituka mapema itakula kwao kama ilivyo kula kwao msimu huu!
 
na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.

labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.

najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.

so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.

karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita

Ushabiki wako unakufanya mpaka unakuwa mwongo, mwaka gani Barcelona ilikuwa kama hizo timu ulizozitaja? Mwaka 1999-2000, 2003-2004, 2006-2007, 2011-2012 na 2013-2014 Barca alikuwa mshindi wa pili kwenye La Liga. Wamechukua ndoo 2005-2006, 2008-2009, 2009-2010, 2010-2011 na 2012-2013. Hao Valencia na Deportivo unaowasifia hawana lolote kufananisha na Barca. Tangu kuingia mwaka 2000 Valencia wamechukua La Liga mara mbili tu (2001-2002 na 2003-2004). Hao Deportivo hawajawahi kuchukua Kombe hilo tangu 2000, mara ya mwisho walichukua msimu wa 1999-2000.

Kama timu huipendi hakuna tatizo lakini usipotoshe watu kwa kutoa maelezo ya uongo.
 
Mimi nilimwambia Gang Chomba, chuki zake kwa Barca kutamfanya ajishushie heshima yake.
cc Mourinho njoo umshauri mzee mwenzako, tusimuache apotee, tumetoka nae mbali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom