PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Kesho my Ronaldo jamani namsubiria wakifungwa najua atalia esp baada ya bac kupita leo.
Hakuna namna nyingine na watapigwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho my Ronaldo jamani namsubiria wakifungwa najua atalia esp baada ya bac kupita leo.
mY neymarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..
Unachoongelea hapo ni historia ndo inayokusumbua but Barcelona ya sasa na ile ya 7 ni tofauti kabisa game ya leo ukiiangalia barca ilicheza kipind cha kwanza baada ya kupiga magoal mawili walijua kazi imeisha na kilichobaki kwenye vichwa vyao ni kufikilia game lijalo Altilitico ambayo ni muhimu kwao mpaka sasa
Ribery na Roben ni kweli wange weza kubadili hali ya mchexo ila si kigezo cha Bayern kupigwa na Barcelona bali kiuchumla Barcelona wako vizur hasa mbele NSM ni hatari duniani
sawa mkuu unaizungumzia klabu iliyotoka hivi majuzi kupigwa na genoa 3 na ambayo kwenye mechi kumi zilizopita imeshinda mbili ok nimekupata mkuu na asante kwa kushangilia jamvi la wageni
waeleze mkuu, waelezeeeeee!!!!!
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..
na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.
labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.
najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.
so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.
karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita
hiyo sio sababu maana jamaa mbona wamecheza poa sana zaidi ya hao akima roben wako na inawezekana wangekuwepo ndo wangeoigwa mengimmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..
haya inatosha mkuu vaa shati sasa then
andaa thread yako ya LIVE iliokaa kishabiki bila kificho ikimtakia Old Lady ushindi hapo Bernabeu...
ukumbi wako Zumbe
Msimu jana wakat wanakula goli nne pale kwao kutoka kwa madrid hao hawakuwepo??wakat wanaitoa man u iliyochoka kwa mbinde hao hawakuwepo??swala ni mfumo siyo wachezaj waliopo
na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.
labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.
najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.
so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.
karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita
Bavaria au Bayern Munich kutoka ktk mji wa Munich nchini Ujerumani leo wanawakaribisha Barcelona ktk dimba la Alianz Arena ktk mechi ya marudiano hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya.
Barca akiwa na mtaji wa magoli matatu aliyoyapata maji ya jiooni ground kwake Nou Camp ni sawa na kusema kaweka booking ya Hotel ila hajakubaliwa na Demu...kwani Demu mwenyewe anajielewa na sio wa kushika mkono kama mademu wa EPL.
Barca inabidi wajipange la sivyo watabakwa leo.
bayern ktk uwanja wao walishambamiza mtu goli 7 kisha wakambandua mwingine goli 6, na hata Barca hapa mara ya mwisho kufika alinanihiwa goli 3 ktk mechi ya marudiano baada ya ile ya mwanzo iliomalizika kwa Barca kula goli 4·
Forza Milan...
Mwanangu anampenda sana,na mimi ikanifanya niwe big fun wa Neymarmmmmmmmmmmmh unampenda eeeeeeeenheeee?
Mwanangu anampenda sana,na mimi ikanifanya niwe big fun wa Neymar
na ndio maana soccer unakuwa mchezo wenye kuhusudiwa zaidi ulimwenguni...maana bingwa wa msimu huu anaweza akawa mteja msimu ujao.
that's Y at the end Soka hubaki kuwa mchezo wa tambo za historia na ngebe za yaliotokea.
labda ni mgeni wa mchezo huu ila nakukumbusha tu mwanzoni mwa karne hii yaani miaka ya 2000 hao Barca unaowaona wewe leo ndio timu bora walikuwa kama Kariakoo Lindi au Stendi UTD na Spain timu zilikuwa Madrid ya Del bosque hapo el Santiago Bernabeu, Valencia ya Hector Raul Cuper ilio na maskani yake Mestalla na Deportivo la Coruna ilio na maskani yake Riazor Stadium chini ya Javier Irrureta.
najuwa ulikuwa hujaruhusiwa kucheza na wanaume bado na hata nikikutajia watu kama akina Djalma Feltosa Fotso Diaz Djalminha, Donato Gama da Silva, Mauro Silva au Jocelyn Angloma, Amedeo Carboni, Ruben Baraja na pasi masta Jose Maria Guti Gutierez JM Guti huwezi kuwajuwa.
so huniumizi kichwa.
milan itabakia kuwa Milan na champions League zake 7.
karibu tena, ila safari hii ujipange
maana yaweza kuwa vita
Ushabiki wako unakufanya mpaka unakuwa mwongo, mwaka gani Barcelona ilikuwa kama hizo timu ulizozitaja? Mwaka 1999-2000, 2003-2004, 2006-2007, 2011-2012 na 2013-2014 Barca alikuwa mshindi wa pili kwenye La Liga. Wamechukua ndoo 2005-2006, 2008-2009, 2009-2010, 2010-2011 na 2012-2013. Hao Valencia na Deportivo unaowasifia hawana lolote kufananisha na Barca. Tangu kuingia mwaka 2000 Valencia wamechukua La Liga mara mbili tu (2001-2002 na 2003-2004). Hao Deportivo hawajawahi kuchukua Kombe hilo tangu 2000, mara ya mwisho walichukua msimu wa 1999-2000.
Kama timu huipendi hakuna tatizo lakini usipotoshe watu kwa kutoa maelezo ya uongo.