Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Nipo Mtwara! Nimesitisha hata mambo mengine ati, hii gesi bana!
 
Jamani Mwita Maranya yani huwezi amini,
Mume wangu alisusa kbs kuingia ndani wakati mchango alitoa.
Chimbuvu alikuwa Selo maskini.
Ila namshukuru sana nanilii kwa Kampani aliyonipa.

Madame B mbona unanifumbia fumbo. Nanilii ndo nani tena bana!?

Nimeona kipande cha video ya tukio la jana, mlikuwa mmelipukaje kwani! Kumbe wadada wa JF ni warembo kiasi hicho eenh!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Morocco kuna hotel gani?? au kwenye mjengo wa Airtel...

We figganigga n'take radhi.
Nani aliondoka na Thanda,ye si alienda kulala Hotelini pale Morocco.
Me nikasepa,au hukumuona yule Baunsa aliyenifata na Rav 4?
Chezea.
 
Last edited by a moderator:
Madame B mbona unanifumbia fumbo. Nanilii ndo nani tena bana!?

Nimeona kipande cha video ya tukio la jana, mlikuwa mmelipukaje kwani! Kumbe wadada wa JF ni warembo kiasi hicho eenh!

ndo yule yule shemejio wa kila siku.
 
Last edited by a moderator:
mtumeeeeeee bado waliendeleza?? nipo hoi, nilibanwaje na mkeiii?? sikuwa na pumzi lol

Ya nini nijitese my dear?
Ndo mana wangu alivonileta tu,nikamwambia naomba usinifate nitarudi mwenyewe,maana wanaume wetu wa Kibongo nawajua kwa magubu yao,japo Mkei wako si wa hapahapa.
 
Ya nini nijitese my dear?
Ndo mana wangu alivonileta tu,nikamwambia naomba usinifate nitarudi mwenyewe,maana wanaume wetu wa Kibongo nawajua kwa magubu yao,japo Mkei wako si wa hapahapa.
ni noumer nakwambia wangu! ila nilihave fun sanaaaaaa! kudos to u guys kwa maandalizi bomber!
 
Back
Top Bottom