Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

nawish kuiona! umeiona wapi?? nilikupaniaje?? mzima ww Mwita Maranya?

Aisee cacico hata sipati cha kusema. Yani wewe na Madame B sijui nitawaona wapi tena hivi karibuni?

Nilikuwa njiani nakuja nikapata dharura nikalazimika kuitosa parry bila kuatarajia.

Lakini mlituwakilisha vizuri sana wanaJF wa Dar. Hope next time ikitokea itakuwa very hot parry!
 
Last edited by a moderator:

Jamani Mwita Maranya,
me mbona nipo Kila siku?
Kila siku nipo Uhuru Peak Bar pale Vijana,nakunywa tu na cacico yuko home Sinza.
Aje? Gani?
 
Last edited by a moderator:
Loh . . . .makubwa! Uwezo wa kufuta ID kaupata wapi?? mmmmmh
Kipipi SHOST JIONEE MWENYEWE SASA HIYO HAPO NILICHOKUAMBIA SIKU ILE .
[h=3]1 point(s) total[/h]Reason
Date
Expires
Points

  • redcard_small.gif
    PrivateReason: Insulted Other Member(s)

    14th January 201317:00by Marry Hunbig

    24th January 201317:00
    1

Aiseeeeeeeeee! Roho Inauma vibaya sana Kuikosa Part Hii,
Kaka Mtambuzi, Maddame B, na wengine haiwezi kurudiwa tena ili na sisi tulikosa tuhudhurie? maana Duh ! I wish ningekuwepo.
 
Back
Top Bottom