Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match.

Starz will win or draw at the home?

FB_IMG_16310160483062967.jpg

Madagascar starting XI

FB_IMG_16310164745566910.jpg



Update
Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju wa penalt

Full-time
Tanzania 3-0 Madagascar
The Tanzania now leading the group J for the 4 point after two games

Tanzania 2 4 3 4
Benin 2 2 1 4
DR Congo 2 2 2 2
Madagascar 2 2 4 0
Team,Match,Goal scored,Goal conced ,points

Tanzania
 
Tegemeo Letu jipya ni Msuva na Novatus Dismas wa Maccabi Tel Aviv.
 
Mbwana samata leo aonyeshe zile kebehi walizokuwa wanamwita ni mzururaji uwanjani sii za kweli leo hii mechi ni muhimu kwake kwa.mstakabali wa timu yake mpya
 

Mimi kipengele kinachonifurahisha kwenye mechi za kimataifa ni nyimbo za taifa. Nikikosa siangalii mechi. Ile vesion iliyotumika.juzi kwenye ngumimza akina mwakinyo sijuinwaliipatanwapi kwanza ina pozi ndeefu kati ya beti na kufanya watu waamini kwamba umeisha halafu unaibuka tena pili kwenye hekima umoja na amani wanaimba tofauti na tuliyoizoea
 
Back
Top Bottom