Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Kabisa timu inafunguka unaiona ila huyu Dismas na Fei Kama wakiendelea hivi watafika mbali sana.Kim bonge la kocha, timu inapiga pasi kutengeneza mashambulizi kuanzia nyuma.
Chini ya Ettiene ilikuwa ni kubutua tu mpaka unakosa hamu ya kuangalia