escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
huyu kipa jamani
2-2
2-2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzinguaji tu hajawahi kuwa na umuhimu kwenye timu ya taifa.Mbwana samata leo aonyeshe zile kebehi walizokuwa wanamwita ni mzururaji uwanjani sii za kweli leo hii mechi ni muhimu kwake kwa.mstakabali wa timu yake mpya
Yaani tunafanya ujinga wa hari ya juu, huyu mwamnyeto atoke haraka sana aingie Job ama Kennedy alafu Mzamiru Leo mpira umemkataa atoke aingie Mudadhiri.Ufala huu
Uzembe wa timu yetu hauwezi kuondolewa kwa ubora wa Madagaska. Mchezo unaongoza goli 2 alafu ndani ya dakika 10 unaruhusu goli zote kurudi. Ni ajabu sana. Mzamiru atoke na Samatha maana samata mchoyo sana. Beki ni marekebishoDah hii game tukipoteza itakuwa uzembe sana. Ingawa Madagascar ni wazuri pia.
Kwenye hayo magoli hakuna kosa la mwamnyeto bali Kapombe na mohamedYaani tunafanya ujinga wa hari ya juu, huyu mwamnyeto atoke haraka sana aingie Job ama Kennedy alafu Mzamiru Leo mpira umemkataa atoke aingie Mudadhiri.
Kule kushoto aingie winga Kama Idd Nado ili Samatta arudi kwenye nafasi yake namba 9 huyu Lusajo atoke.
Mzamiru katepeta, lile goli la kwanza makosa ya Tshabalala...Yaani tunafanya ujinga wa hari ya juu, huyu mwamnyeto atoke haraka sana aingie Job ama Kennedy alafu Mzamiru Leo mpira umemkataa atoke aingie Mudadhiri.
Kule kushoto aingie winga Kama Idd Nado ili Samatta arudi kwenye nafasi yake namba 9 huyu Lusajo atoke.
Tatzo nini umeliona au uzembe wake ni upi?...msifu mpigaji hapo kwanzahuyu kipa jamani
2-2
Ni Mzanzibari au Mtanzania? Linapokuja suala la Nchi, Zanzibar hamuitambuiHiki kikosi ni kama vile Simba vs Madagascar (Kila la kheri Staz).
Halafu huyo Straika wa Madagascar -Abdallah Hakim, mbona kama ni Mzanzibar aliyezamia Madagascar!
Samatta kacheza vzr sana acha chukiSamata kocha awe na ujasiri amtoe tuu jamaa mbinafsi sana lusajo yupo kwenye njia kila mara yeye anakomaa kivyake ni kama hamuamini hivi
Sasa chuki ya nini wakati timu ya taifa ni yetu wote au hufahamu tukishinda ni wote tumeshinda we dubwani la nchi gani? Mpira unachezwa hadharani kama akijirekebisha kipindi cha pili yule ndio star na mwamba wa Tanzania ila kwa kipindi cha kwanza ni kama alikua hamuamini LusajoSamatta kacheza vzr sana acha chuki