Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Sasa chuki ya nini wakati timu ya taifa ni yetu wote au hufahamu tukishinda ni wote tumeshinda we dubwani la nchi gani? Mpira unachezwa hadharani kama akijirekebisha kipindi cha pili yule ndio star na mwamba wa Tanzania ila kwa kipindi cha kwanza ni kama alikua hamuamini Lusajo
Aya endeleza magubu yako sijui unaangalia mechi ipi?
 
Kabisa, yaani kapombe na MOHAMED walikuwa wanamuangalia tu. Sijui wameidharau timu??
Hawa ndio wanairudishaga stars siku zote. Hata pale pa draw hukawii kusikia Kapombe kamsaidia Manula kudaka.
 
Back
Top Bottom