Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Mwenye live link wajameni...

Nimepata hapa, FiFa TV ila weka VPN ya UK sababu nchi nchi ikiwemo TZ jamaa hawastream live

Polish_20210907_163327883.png
 
Kim bonge la kocha, timu inapiga pasi kutengeneza mashambulizi kuanzia nyuma.

Chini ya Ettiene ilikuwa ni kubutua tu mpaka unakosa hamu ya kuangalia
 
Back
Top Bottom