Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

Hii formation ya mpira gani
Delivery Ramani bonge la striker
 
Wakuu naomb mnieleweshe hapa, hivi tunatakiwa tuwe nafasi ipi ili twende level nyingine hadi kufikia kushiriki world cup na hizo levels/stages ni zipi hadi kufika hapo??
Mkuu hapo ni anayeongoza tu ndo anatakiwa kwahiyo bado kazi ipo ,inatakiwa dro na Benin au kushinda ,tukidro tumewazidi magoli
 
Pancho, pancho pancho, nakuita kama marehemu omari omari alivyoita kwenye ngoma yake kupata Ni majaaliwa.

Yaani mchezaji atoke maccabbi tel aviv, nusu ulaya arudi kucheza ligi ya bongo.. Wamuache akifeli kule ndio arudi home na sio kumrudisha hapa.
Timu ipo Euro qualification halafu arudi bongo
 
Mkuu hapo ni anayeongoza tu ndo anatakiwa kwahiyo bado kazi ipo ,inatakiwa dro na Benin au kushinda ,tukidro tumewazidi magoli
Mkuu kwahiyo anaeongoza ndo anakua amequalify kwenda kwenda kwenye mashindano ya world cup ama pia bado kutakua na mchujo mwingine?? Kama upo ni upi mkuu??
 
Pancho, pancho pancho, nakuita kama marehemu omari omari alivyoita kwenye ngoma yake kupata Ni majaaliwa.

Yaani mchezaji atoke maccabbi tel aviv, nusu ulaya arudi kucheza ligi ya bongo.. Wamuache akifeli kule ndio arudi home na sio kumrudisha hapa.
Aaah kaka sikua nafahamu kuwa Nova amekwishaenda uarabuni, nilisikiaga alitolewa kwa mkopo kwenda sijui biashara..! Kama anacheza nje basi it's all good ni vizuri zaidi atakuja kupata Team kubwa zaidi maana kuonekana ni rahisi sana.

Kiukweli ananikosha sana utadhani singeli ya meja kunta.. Inaitwaje sijui ile.

Ameupiga mwingi sana..
 
Mkuu kwahiyo anaeongoza ndo anakua amequalify kwenda kwenda kwenye mashindano ya world cup ama pia bado kutakua na mchujo mwingine?? Kama upo ni upi mkuu??
Hakuna mchujo ni anayeongoza kundi tu
 
Mkuu kwahiyo anaeongoza ndo anakua amequalify kwenda kwenda kwenye mashindano ya world cup ama pia bado kutakua na mchujo mwingine?? Kama upo ni upi mkuu??

Africa inatakiwa kutoa timu 5 tu kwenda world cup. Na kuna magroup 10, kwa maana hiyo kila group litatoa timu 1 kwa hiyo kuwa na timu 10.

Baada ya hapo hizo timu 10 zitapambanishwa kupata timu 5.

Nipo tyr kukosolewa
 
Duuh kama ni hivyo kutusua ni kwa mbinde mnooo. Inawezekana lakini HAIWEZEKANI.
 
Africa inatakiwa kutoa timu 5 tu kwenda world cup. Na kuna magroup 10, kwa maana hiyo kila group litatoa timu 1 kwa hiyo kuwa na timu 10.

Baada ya hapo hizo timu 10 zitapambanishwa kupata timu 5.

Nipo tyr kukosolewa
Fact
 
Yupo macab tel aviv al israel
 
Mkuu kwahiyo anaeongoza ndo anakua amequalify kwenda kwenda kwenye mashindano ya world cup ama pia bado kutakua na mchujo mwingine?? Kama upo ni upi mkuu??
timu itakazoongoza kwenye kila kundi zitacheza mechi za mtoano ili kupata timu tano zitakazowakilisha Afrika hiko qatar
 
Pancho, pancho pancho, nakuita kama marehemu omari omari alivyoita kwenye ngoma yake kupata Ni majaaliwa.

Yaani mchezaji atoke maccabbi tel aviv, nusu ulaya arudi kucheza ligi ya bongo.. Wamuache akifeli kule ndio arudi home na sio kumrudisha hapa.
akili za utopolo utazijua hawa ndio walimzuia Tegete kwenda kucheza soka la kulipwa asubiri mechi ya simba na yanga
 
Mwehu wewe unaye jaribu kulazimisha kitu ambacho hakipo mchezaji anaweza kuwa mzuri lakini akizingua baadhi ya mechi mbona imetokea mara nyingi kwa firmino, Pogba na wachezaji wengine wengi kwani samata ni Mungu yeye ukisema iwe nongwa?
Kabla hata samatta hajatoa hyo assist.. amezbgua nn?!
 
wachezaji wa simba walitaka kutufungisha sijapenda
😀😀😀🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…