Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walau Leo ntalala.yaani walivosawazisha nilijisikia uchungu Wa ajab hadi machozi kukaribia kutoka.asanteni.ila timu bado ina matatixo makubwa
Nilisema mapema kabisa kwamba leo ushindi ulikuwa ni muhimu na lazima.
nmefurahi kwa kuwa serunkuma dan amefunga. huyu mchezaji ni mzuri sema tu amefika simba wakati mbaya.
Kweli mkuu Masuke utabiri wako umetimia, hongereni.
Mkuu Makoye Matale angekuwepo, angemalizia kutabiri idadi ya magoli.
Yeah vyote 2 nimeelewa kasoro kisukuma tu. Leo mtakesha full mauchambuzi wenyewe. Ila simba mjue tu kipindi cha kwanza mlikuwa mrenda kabisa, uchezaji nimchezaji mmoja mmoja. Nibkwamba wakiwa majeruhi basi no ushindi.
hawa mikia walistahil kipigo.
kaka nimegundua naipenda sana simba kuliko hata mpenzi wangu.yaani machozi kabisaaa yalinitokasiyo wewe....
afadhali mkuu.lakini umelala kwenye viti vya taifa stadiumwalau leo nimelala chali
Hongereeni sana Simba SC kwa kupoza maumivu. Mtaanza kusema sasa ndiyo mmeanza ligi, msijaribu kusema hivyo, yule shetani wa draw na kufungwa asije akawarudia.