NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
adui mwombee njaa.ndanda make us proud please
Ndanda haiwezi kumfunga Yanga hata kwa mizizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adui mwombee njaa.ndanda make us proud please
Well-done Simba. Kufunga hizi timu za kibabe za kijeshi si kazi ndogo ..
Samahani wadau Hivi Amis Tambwe ana goli ngapi mpaka sasa?
Coastal Union 0 - Mtibwa Sugar 0. Full Time.
Nyie kesho mna nafasi kubwa sana ya kuongoza ligi labda mfanye uzembe wenyewe.
Hamjiamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
Tumewazoea kwa dua za kilevi mwisho juu ya paa. Mliingia msituni Zanzibar tukabeba ndoo, mkaingia msituni Nangwanda mkatoka vichwa chini. Simba wakiingia msituni huko ndio kwake, leo mnachezea kichapo cha aibu.Ngapi ngapi wakuu ?, maana nipo msituni nakaza kuomba dua ili thimba itoe droo ama kufungwa kama kawaida yao. Mkuu Masuke upo wapi ?
Mliingia msituni Zanzibar tukabeba ndoo, mkaingia msituni Nangwanda mkatoka vichwa chini. Simba wakiingia msituni huko ndio kwake, leo mnachezea kichapo cha aibu.
Sioni tofauti kati ya Ndanda na JKU ZanzibarNdanda haiwezi kumfunga Yanga hata kwa mizizi.
Dua la kuku.........?.
Furaha yangu leo ni kuona chama langu la ukweli ambalo sikushinikizwa na mtu nilipende dar young africans inatoa kipigo kwa wamakonde wa mtwara kwa kuwapa kichapo cha magoli 4-0, Na kule Equatorial Guinea yale makubwa jinga yapewe kichapo cha maana kutoka kwa waarabu wa Algeria.
Tena kikali kama hiki
mkolaj yaani nikiona tu comments zako nakujua wewe ni mtu wa namna gani. kwa mfano wakisimamishwa watu 1000 halaf nikaambiwa onesha mkolaji yupo wapi ingawa sijawah kukuona ntakugundua tu. na ndo maana hata matimu unayoshabikia ni hayo hayo na lichama utakalo kuwa unashabikia litakuwa la hivyo hivyo. sasa subiria uone mtifu tifu wa leo na matimu yako ya kikatilikatili.... kiiintaramwe intaramwe... tutatfutana tu. jana mmekaa wenyewe mnategemea mnyama atafungwa? WE WIN WHEN WE WANT.
danny ni mchezaji mzuri wampe muda atulie na pia kama hali itatulia simba. danny ni mchezaji mzuri ....ana nguvu ana speed. sema alikuwa na tension na pressure kubwa toka kwa mashabiki. na hili ndo lilikuwa kikwazo na bado ni kiwazo. tunaweza kurudia ile simba ya okwi,mafisango na sunzu. ilikuwa simba nzuri na hao ni wachezaj ambao simba itawakumbuka sana. simba kiukweli bado ni team nzur tatizo tu ni wazee wa miba ndo wanaharibu team