Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Kibao kitageuka leo

Siyo siri. Endapo Yanga itafungwa Mkuu grafani11 utakuwa mwenye furaha isiyo kifani na endapo Yanga itashinda utakuwa ni mwenye huzuni mno.

Yanga haina historia ya kupoteza mechi katika uwanja wa nyumbani jindae kusikitika.

Wewe timu yako jana imeshinda, ya nini tena kujitafutia presha, kiharusi na hata kisukari kwa timu dhaifu kama Ndanda FC?
 
'Ya nini kujitafutia presha, kiharusi na hata kisukari kwa timu dhaifu kama Ndanda FC?'- Makoye Matale 2015.
 
Sikuona haja ya kujibu maana dua yangu siku zote huwa haipiti bure. Kuchele wamenifurahisha sana kwa kweli.
 
'Ya nini kujitafutia presha, kiharusi na hata kisukari kwa timu dhaifu kama Ndanda FC?'- Makoye Matale 2015.
Ni kweli dhaifu wote jana walikutana na wote tumeona....
 
mkolaj waarabu wazee wa chinja chinja wamechinjwa wao sasa. wamepigwa vitasa vya kutosha na mablack na sasa wamerudi kwenda kula urojo na tende huko uarabuni. wanaume wanakanyaga then they move on. huwez ukawa mwanadamu wa kawaida unashngilia team ya kiarabu hawa wanaotufanyiaga hujuma tukienda kwao.
 
Jidanganye, huyo ni sawa na homa ya vipindi; usiku inakaba, kukicha inaachia, jioni inarejea tena. Subiri mechi yenu na Mgambo Shooting utayakumbuka maneno yangu.

Hivi nikiwauliza ni sababu gani hasa iliyomfanya kocha ampange Ngassa wakati alitoroka kambi zaidi ya wiki
 
Swala la Juma Nyosso dhidi ya mchezaji wa Simba imefikia wapi? Inabidi wachezaji wahuni warudi cha Ndimu! Nyosso Akili hana kama Kocha ake ELI MZOZO aliyemfundisha mpira mchangani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…