Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu



Vikombe vingapi katika uwakilishi huo wa kiushindani?
 
Wapigwe tu tumechoka,
si wengine ni simba hao.
 
Huyu Dan kwanini anatufanyia hivyo lakini? Watu bado hatujakaa vizuri kwenye viti vyetu, wengine hata bado hawajaingia uwanjani.. kashafanya mambo!! Kila la kheri Simba Sc.
 
Kimechomolewaaaaaaaa simba 1-1 jkt ruvu
 
Jkt tandika hao,wapi makoye matale tunasubiri utabiri wako
 
JKT Ruvu tupeni raha siye, watu walilia, walilala huku wamesimama.
Tunataka leo wasirudi mitaani kwao kabisa.
Mkitoka sare powa hata 2-1 siye raha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…