Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
team yetu ya simba na kocha wala si mbaya. tuna kocha mzuri sana na wachezaji tunao wazuri hilo kila anayeelewa mpira atakwambia. jambo ambalo linatuumiza ni wachezaji kuchoka kinapoanza kipind cha pili. huwa wanasema wanachoka utadhan wamebeba wame. kipind cha kwanza wanajitahid sana kwa nguvu nyingi sana . mi nadhan hapa shida ipo tukubali tusikubali. lakini tunafaham tatizo ni nini. nadhan kama aveva huyu mnyakyusa angeacha ujeuri angeweza kukaa na ukawa haya mambo yangeisha tu. na ushindi ungepatikana, kwa sasa kila mchezaji simba ataonekana mbaya au anacheza chini ya kiwango. haya mambo watu myasikie tu ila usiombe yakukute. mtani anashangilia akidhan kwa haya yanayotukuta yeye anafaidika anasahau sisi tumetoka mbali sana na kushuka kwa simba ni kuanguka kwa yanga. maana huu mwaka wa nne kama sikosei hatuna team ya kutuwakilisha mech za kimataifs kiushindani toka simba ianze kufanyiwa hujuma. maana team ambayo ilikuwa inawea kucheza mechi za kimataifa ni simba peke yake.
tutapambana na tutashinda. bantu lady, makoye et al
Vikombe vingapi katika uwakilishi huo wa kiushindani?