mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #61
Hivi msuva yupo uwanjani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pichaKaribuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake
Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili
kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid
Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
Msuva hashuki tofauti na FaridMashambulizi mengi yanapitia kwa Kapombe. Naona Kama hajipangi vizuri
Mpaka muda huu wa dakika ya 37, hatuna shot on target wala shot off target hata moja, na tuna ball possession ya 40% dhidi ya 60% ya Tunisia, sasa tutashindaje? au kwa dua zenu?Kweli, na hivi wao wako 12
Uwezo wetu mdogoMpaka muda huu wa dakika ya 37, hatuna shot on target wala shot off target hata moja, na tuna ball possession ya 40% dhidi ya 60% ya Tunisia, sasa tutashindaje? au kwa dua zenu?
Kama matokeo ya wizi ya uchaguzi ulioisha hapa bongoDuh Hali ikoje huko wadau
HaioneshiTunisia - Tanzania
goatd.me
...halafu refa pimbi sanaaa, waarabu wanacheza rafu mnoo na nyingi anapeta...pumbaf sana refaWaarabu wameanza yao, ile faulo gani
teh teh teh tehteh teh teh teh teh
Kama matokeo ya wizi ya uchaguzi ulioisha hapa bongo