Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili

kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid


Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
picha
 
Jmn mi nmeshindwa kupata kuona mech link zote mlizotuma ila cjafanikiwa mwenye kunielekeza naomba msaada wenu maana mchezo wenyewe unakalibia kuisha
 
Back
Top Bottom