Haaa haaa, sikuinote hiyo. Nadhani ni ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa. Sijajua kama bendera ya CCM ni sawa kuwa hapo.
Sijui kama hii link itakuwa na faida yoyote kufuatilia upigaji kura katika nchi nzima
Uchaguzi Tanzania
Zanzibar hali inaripotiwa kuwa ni shwari sana. Haijapata kutokea.
Kaa mbele yake uweze kuposti!...ukikaa nyuma utaonaje?
A-Town kuko shwari sana...Hakuna fujo, hakuna magari barabarani, watu wote wamekimbilia vituoni, wako serious mno.PJ, vipi mambo huko A-Town?
Baada ya briefing ya hapo juu, sasa naamia katika TV's kuwapa updates: ITV wako Live wanaohoji waandishi sehemu mbalimbali, , TBC pia wanarusha matangazo; , Channel 10 nao wako hewani na Star TV pia.
. . . . . . .
Kuna thread kama kumi zote LIVE kuhusu uchaguzi. Kama kuna MOD yeyote atakayepita hapa, ningeshauri zooooote ziunganishwe na thread hii. Superman, we si MOD ....au!? [/QUOTE]
Hahahaaaa!
Mkuu, unamhisihisi jamaa amekaa kimod-mod eeh?
All in all, kweli hizi threads nyingi ziunganishwe...kuna watu humu wana namba za Invisible na PianKiller, hebu muwa-'DIPU':becky::becky:
Asante nipo nyuma ya laptop tuu leo:smile:
A-Town kuko shwari sana...Hakuna fujo, hakuna magari barabarani, watu wote wamekimbilia vituoni, wako serious mno.
Mimi nilipiga kura yangu saa 1.20 kwa usalama kabisa.
Ila chumba kilichokuwa adjacent na mimi walisimamisha upigaji baada ya kama watu 10 kupiga, maana iligundulika kuwa wapigisha kura walikosea kupanga yale mabox ya kutumbukiza kura... walipanga sanduku jeusi kwa rais, na la bluu kwa Mbunge, ambapo ni makosa...sasa sijui hatima ya kura zile itakuwaje!..niliacha kadhia hiyo bado haijapata uFumbuzi.
Kuna thread kama kumi zote LIVE kuhusu uchaguzi. Kama kuna MOD yeyote atakayepita hapa, ningeshauri zooooote ziunganishwe na thread hii. Superman, we si MOD ....au!?