Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Wanabodi,
Niko hapa hoteli ya Willard Intercontinental Hotel mtaa wa Pennsylvania Ave NW Washington, D.C kuwaletea yatokanayo na hili kongamano kubwa la uwekezaji la Benki ya CRDB.
Anzia hapa
Baada ya ule mchaka mchaka wa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA jijini New York, kisha kongamano la DICOTA la uwekezaji nyumbani kwa wana Diaspora wa Marekani, pale Dallas, wiki hii ngoma inahamia jijini Washington DC kwa vikao vya Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF na Benki ya Dunia, ambapo mchaka mchaka huu ni zaidi ya UNGA, maana UNGA ilikuwa ni kujadili tuu policies, vikao hivi ni vya wenye pesa wa dunia kujadili kuigharimia dunia.
Vikao hivi vinahusisha mawaziri wa Fedha wa nchi zote duniani, magazine wa Benki Kuu zote za dunia, mashirika yote ya fedha za dunia kuanzia Benki ya Dunia, Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, IFC na mashirika fadhili yote, nchi tajiri zitasema zitafadhili nini, na nchi masikini zinakuja kutembeza mabakuli yao, zifadhiliwe kwenye nini.
Haya mambo ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF kuamua uchumi wa dunia, ndio yalimgharimu kiongozi wa Libya, Muammar Ghadafi, akajiuliza kwanini nchi zote duniani zikopeshwe na Benki ya Dunia WB na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF tuu?.
Akaitisha kikao maalum cha AU, akaleta wachumi wake, wakapiga hesabu za uchumi wa rasilimali za bara la Africa pekee zikiunganishwa, Africa inaweza kujitegemea vizuri zaidi kwa kuwa na Bank of Africa badala ya WB na Tuanzishe African Monetary Fund badala ya IMF na kutoa mikopo bila riba, na yeye atagharimia fedha zote za uendeshaji!, kumbe kosa!. Alishughulikiwa!.
Kiukweli kabisa kuna vitu nchi matajiri wanatufanyia sisi nchi masikini ambavyo having fair, bara letu la Africa ndilo bara masikini zaidi wakati tuna rasilimali lukuki kuliko baadhi ya nchi za ulaya!
Zaidi ya mawaziri wa fedha na magavana, pia wakurugenzi wa kuu wa mabenki makubwa wote wa duniani watakuwepo na kwenye hili kwa Tanzania, angalau CRDB Bank itatutoa kimasomaso maana itatimba Washington DC na kuendesha kongamano la uwekezaji kupata mitaji kwa makubwa hawa.
Tarehe 16 Benki ya CRDB kwa ushirikiano na taasisi ya Invest Africa, imeandaa kongamano kubwa la uwekezaji litakalofanyikia WashingtonDC sambamba na vikao vya World Bank/IMF Annual Meeting.
Wana Diaspora wa Marekani wa DICOTA, wamealikwa, ila nimekuja kugundua, Watanzania ni wale wale hata wakiwa Marekani, ni watu wa mambo madogo madogo na vitu vidogo vidogo!.
Nimesema hivyo kufuatia mahudhurio ya diaspora wa Tanzania kwenye mambo muhimu, nimeangalia idadi ya Diaspora wa Tanzania chini ya DICOTA walivyo jitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Urithi Festival pale Atlanta, nikalinganisha na wana diaspora walihudhuria kongamano la DICOTA la uwekezaji nyumbani Tanzania, sidhani kama walifika watu 100!.
Rais wa DICOTA, madame Tina Laswai, amewaaluka wana diaspora wa Marekani wa DICOTA kwenye kongamano hilo la CRDB Bank, mimi nitakuwe na nitawajulisha ushiriki wa diaspora wetu.
Hii ni moja ya wiki ngumu kwa wanahabari maana matukio ni mengi yanakwenda sambamba, unajiuliza uhudhurie tukio lipi na uache lipi, mtihani ni pale kunapokuwa na matukio mawili kwa wakati mmoja, na yote ni muhimu, unajishauri ujigawe vipi.
Speakers
H.E. Dr. Natu El-Maamry Mwamba
Permanent Secretary, Ministry of Finance and Planning | United Republic of Tanzania
H.E. Dr. Elsie S. Kanza
Ambassador to the United States | United Republic of Tanzania
Thierno-Habib Hann
Managing Director & CEO | Shelter Afrique
Lori Kerr
Chief Executive Officer | FinDev Canada
Emmanuel Mpawe Tutuba
Governor | Bank of Tanzania
Prof. Neema Munisi Mori
Board Chairperson | CRDB Bank
Abdulmajid Mussa Nsekela
Group Chief Executive Officer | CRDB Bank
Tully-Esther Mwambapa
Director of Corporate Affairs & Public Relations | CRDB Bank
Édouard Normand Bigendako
Governor | Bank of Burundi
Jessica Nyachiro
Managing Director | CRDB Bank DRC
Fredrick Siwale
Managing Director | CRDB Bank Burundi
Pedro Besugo
Head of Business Development | Invest Africa
Program.
11:30 – 12:00 Registration & Breakfast Refreshments
12:00 – 12:05 Opening Remarks
12:40 - 13:30 Panel Session and Q&A: Shaping the Future: Exploring Regional Transformation and Investment Opportunities in Tanzania, Burundi and the DRC
14:00 Close
Karibu
Paskali

- Tully Esther Mwambapa. Director of Corporate Affairs and Public Relations, Director Corporate Affairs, CRDB Bank Plc
- Abdulmajid Mussa Nsekela, Group Chief Executive Officer, CRDB Bank Plc
- Emmanuel Mpawe Tutuba, Governor, Bank of Tanzania
- Édouard Normand Bigendako, Governor, Bank of Burundi
- Dr. Natu El-Maamry Mwamba, Permanent Secretary, Ministry of Finance and Planning, United Republic of Tanzania
12:40 - 13:30 Panel Session and Q&A: Shaping the Future: Exploring Regional Transformation and Investment Opportunities in Tanzania, Burundi and the DRC
- Thierno-Habib Hann, Managing Director & CEO, Shelter Afrique
- Lori Kerr, Chief Executive Officer, FinDev Canada
- Rachel Pungu, Director General, ANAPI
- Fredrick Siwale, Managing Director, CRDB Bank Burundi
- Pedro Besugo, Head of Business Development, Invest Africa (moderator)
- Prof. Neema Munisi Mori, Board Chairperson, CRDB Bank Plc
- Dr. Elsie S. Kanza, Ambassador of Tanzania to the United States of America
14:00 Close
Karibu
Paskali