Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi leo kumbe tarehe 5?Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates,
Imeanza saa 10,
Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates
Daah kagol kamoja kwa mechi nyingi hivi?Bonge la goal,
Hakika feisal amerudi
Beberu umenyeshewa mkuu?😂Nimekosea, ni tarehe 11/11 leo
Amani tu mkuu😂😂😂😂😂😂
Ihefu FC ndio level yao, waache watambe.Azam wanaupiga mpira mwingi sanaaaaa