choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga YangaHii timu utashangaa mwishoni mwa msimu inashuka daraja, au inacheza play off. Maana huwa inajiandaa pre season yote kuifunga Yanga tu. Baada ya hapo, inageuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe.