Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

Hao Ihefu hawana issue, baada ya kumfunga Yanga wakaamua kumfukuza kocha Zuber Katwila, sasa ni mwendo wa kuchezea vichapo tu.

Nami nasema Wagongwe mpaka washuke daraja.
 
Azam wanaupiga mwingi kocha alifanya kosa kubwa sana kutokuwa anamchezesha Kipre Junior angalia tangu ampe nafasi Azam imebadilika
 
Azam naona wamejitafuta sasa wamerudi. Ila ngoja baada ya mechi 2 zijazo.
 
Ihefu wanapata goal, dakika ya 90+1
 
Full time

Ihefu 1-3 Azam Fc

Hongera sana Azam Fc
 
20231104_180716.jpg
 
Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates,

Imeanza saa 10,

Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates


Full time 1-3 in favor of Team bora sana ya Azam Fc
View attachment 2803796
Hii timu utashangaa mwishoni mwa msimu inashuka daraja, au inacheza play off. Maana huwa inajiandaa pre season yote kuifunga Yanga tu. Baada ya hapo, inageuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe.
 
Ihefu wanachojua ni kucheza tu na Yanga apo mbarali
 
Back
Top Bottom