Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates,

Imeanza saa 10,

Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates

Full time 1-3 in favor of Team bora sana ya Azam Fc
 
Dakika ya 25' 0-0
Match ni ya moto, wanashambuliana kwa zamu
 
35' Azam wanakosa bao hapa,
Huyu kipa wa Ihefu ni nouma
 
35' Goooooooooooooooooool

Azam Fc 1
 
Fei totoooooooo
 
Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates,
Imeanza saa 10,
Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates
Hivi leo kumbe tarehe 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…