choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,081 Reaction score 3,831 Nov 4, 2023 #41 Tate Mkuu said: Hii timu utashangaa mwishoni mwa msimu inashuka daraja, au inacheza play off. Maana huwa inajiandaa pre season yote kuifunga Yanga tu. Baada ya hapo, inageuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe. Click to expand... Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga
Tate Mkuu said: Hii timu utashangaa mwishoni mwa msimu inashuka daraja, au inacheza play off. Maana huwa inajiandaa pre season yote kuifunga Yanga tu. Baada ya hapo, inageuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe. Click to expand... Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Nov 4, 2023 #42 Beberu said: Magoal kafunga FEISAL SALUM 1 Bajana sospeter kafunga mawili Click to expand... Safi sana Feisal Salum
Beberu said: Magoal kafunga FEISAL SALUM 1 Bajana sospeter kafunga mawili Click to expand... Safi sana Feisal Salum
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 4, 2023 #43 Mume wa Yanga ametahiriwa
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Nov 4, 2023 Thread starter #44 🙂
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Nov 4, 2023 Thread starter #45 choza choza said: Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga Click to expand... Yanga wanaumia kuona simba na Yanga wameifunga Ihefu
choza choza said: Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga Click to expand... Yanga wanaumia kuona simba na Yanga wameifunga Ihefu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 4, 2023 #46 choza choza said: Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga Click to expand... Pole kwa kutokunielewa
choza choza said: Kwahiyo mlitaka waifunge kila timu kisa wanaifunga Yanga Click to expand... Pole kwa kutokunielewa
Said Stuard Shily JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 2,396 Reaction score 2,108 Nov 5, 2023 #47 Shedii said: Ihefu wanachojua ni kucheza tu na Yanga apo mbarali Click to expand... Yanga ni mbovu ndo maana inafungwa na Ihefu mbovu
Shedii said: Ihefu wanachojua ni kucheza tu na Yanga apo mbarali Click to expand... Yanga ni mbovu ndo maana inafungwa na Ihefu mbovu