Tueleze huyu mumeo mlikutana wapi na hadi kufikia kuoana ilikuaje?Nina mume lakini naishi mwenyewe! Nae yupo mbali kidogo anaweka mambo sawa ya maisha baada ya muda tutakuwa tena pamoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa huyu mume alikua ni kaka wa rafiki yangu yaan rafiki yangu kama ndugu kabisa! Kipindi niko na mishe mishe za kusoma advance ndio tulikutana yeye alikua mkoa mwingine alivyopata likizo ya kikazi akaja Dar akafikia hapo kwao ambako mimi nilikua naenda mara kwa mara! First sight akanipenda ila hakuniambia akawa ananipeleleza kwa mdogo wake! Hadi siku tumeweka miadi ya kuonana mimi nlikua muoga sana maana kwetu ni mziwanda na muda mwingi nilikuwa ni mtoto wa nyumbani kwahiyo baada ya hapo mambo yote niyeye alikua wa kwanza kunifundisha!Tueleze huyu mumeo mlikutana wapi na hadi kufikia kuoana ilikuaje?
Yeye ndo mwanaume wako wa kwanza si vibaya tukajua ulianza mahusiano ya kikubwa ukiwa darasa la ngapi na umri upi?
DJ sepetu
Hongera kwa kujitunza!Hahaaa huyu mume alikua ni kaka wa rafiki yangu yaan rafiki yangu kama ndugu kabisa! Kipindi niko na mishe mishe za kusoma advance ndio tulikutana yeye alikua mkoa mwingine alivyopata likizo ya kikazi akaja Dar akafikia hapo kwao ambako mimi nilikua naenda mara kwa mara! First sight akanipenda ila hakuniambia akawa ananipeleleza kwa mdogo wake! Hadi siku tumeweka miadi ya kuonana mimi nlikua muoga sana maana kwetu ni mziwanda na muda mwingi nilikuwa ni mtoto wa nyumbani kwahiyo baada ya hapo mambo yote niyeye alikua wa kwanza kunifundisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ni nyingi hasa kipindi hiki cha kipupwe natamani angekuwepo lakini namudu kwa kujiwekea ratiba tight! ambayo hainipi muda wa kuwaza kutafuta spare tyre nikipata muda naongea nae kwa skype kwahiyo mambo yanakaa sawa!Hongera kwa kujitunza!
Umesema yupo mbali vipi unamudu kuishi bila yeye muda mrefu
Changamoto ni zipi
Uliwahi chepuka kwa dharura?
DJ sepetu
Uliwahi fanya masturbation ili kuondoa matamanio!?Changamoto ni nyingi hasa kipindi hiki cha kipupwe natamani angekuwepo lakini namudu kwa kujiwekea ratiba tight! ambayo hainipi muda wa kuwaza kutafuta spare tyre nikipata muda naongea nae kwa skype kwahiyo mambo yanakaa sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna mtoto mmoja! Hapo awali nlikua nikiangalia porn video! Na nafika mshindo! Lakini hii tabia nikaiachaUliwahi fanya masturbation ili kuondoa matamanio!?
Una watoto wangapi
DJ sepetu
Porn video ulikuwa unaangalia peke yako je ulikuwa unamaliza ashki kwa kuangalia tu?Nna mtoto mmoja! Hapo awali nlikua nikiangalia porn video! Lakini hii tabia nikaiacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nlikua namaliza kwa kuangalia tu! Lakini badae nikaacha niliona zinataka kuniharibu! Ni kweli nahakikisha mtoto anapata malezi hasa namfundisha kuwa na hofu ya Mungu hili kwangu ndio naona la msingi!Porn video ulikuwa unaangalia peke yako je ulikuwa unamaliza ashki kwa kuangalia tu?
Malezi yepi unahakikisha wanao hawakosi na vipi una compensate father figure kwa watoto?
DJ sepetu
Nimefika dear ngoj tusonge nayoShunie, Linamo, ukhuty, Youngblood, Neybright, emmyta mkuje huku nimewashikia siti....
Nimefika wii japo nimechelewaShunie, Linamo, ukhuty, Youngblood, Neybright, emmyta mkuje huku nimewashikia siti....
Chumbani kuna siri!!!Ndio nlikua namaliza kwa kuangalia tu! Lakini badae nikaacha niliona zinataka kuniharibu! Ni kweli nahakikisha mtoto anapata malezi hasa namfundisha kuwa na hofu ya Mungu hili kwangu ndio naona la msingi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika mpenzShunie ukuje, emmyta amkaa bhasi.... Linamooo.... Ukhuty...... Youngblood.....
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Viherehere hao!!!
Tupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
Kwakweli suala la fedha tunaishi kwa kusaidiana nikiwa nazo mimi nahudumia nayeye vivyohivyo! Yaani hakuna usiri japo mimi naweza kusema nahudumia kwa 40% kama yote yako shwari maana biblia imempa majukumu baba![emoji4]Chumbani kuna siri!!!
Vipi masuala ya fedha ktk familia!
Wewe unachangia asilimia ngapi ya pato ktk uendeshaji wa maisha!
Mume je
DJ sepetu
Unafanyia nn 60% unajenga kwenu!?Kwakweli suala la fedha tunaishi kwa kusaidiana nikiwa nazo mimi nahudumia nayeye vivyohivyo! Yaani hakuna usiri japo mimi naweza kusema nahudumia kwa 40% kama yote yako shwari maana biblia imempa majukumu baba![emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
60% sijengi kwetu! Nafanyia mambo mengine madogo madogo nyingine naingiza kwenye vibiashara! Nna housegirl ndio mwanangu haathiriki kabisa na utafutaji wanguUnafanyia nn 60% unajenga kwenu!?
Vipi una hakikisha kuwa mwanao haathiriki na utafutaji wako!
Una housegirl !?
DJ sepetu
Miss youNimefika mpenz