DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #181
Tueleze huyu mumeo mlikutana wapi na hadi kufikia kuoana ilikuaje?Nina mume lakini naishi mwenyewe! Nae yupo mbali kidogo anaweka mambo sawa ya maisha baada ya muda tutakuwa tena pamoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndo mwanaume wako wa kwanza si vibaya tukajua ulianza mahusiano ya kikubwa ukiwa darasa la ngapi na umri upi?
DJ sepetu