Unafanyiwa interview, unatongozwaHivi nikijibadilisha jinsia humu napata faida gani? Hebu nisaidie mpnz kunifumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanzaa sina uhakika na ile tarehe ujue....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji134] [emoji134] [emoji134] mpaka leo anachoficha nini jamaan basi hata usimfanyie usije ukafanya ikawa aibu yetu dada asitokee kabisa ujue nawaza tu mimi akapita kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6] hiyo ya pm kama ulionaUsijali mamy... Nafikiri Unajua kuna mrembo anajiita Husna the boss lady... Wanaume weengi walimdondokea kweeeli, wengine wakagongana pm hukooo, kumbe ni dume bwana.... Linaitwa Otieno kwa id ingine, fundi wa vitanda!!!!!! Upoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafanyiwa interview, unatongozwa
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6] hiyo ya pm kama uliona
Yaan Dada nimewaza mengi ujue mwisho wa siku iwe aibu yetu na unawajua binadamu watapata ya kuongea yaan kama naona huyo sikuKwanzaa sina uhakika na ile tarehe ujue....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto wa dadyHahaha
Wanaume ni changamotoo, sio kwa picha zile. Najua palifurikaa
WoooiiiYaan Dada nimewaza mengi ujue mwisho wa siku iwe aibu yetu na unawajua binadamu watapata ya kuongea yaan kama naona huyo siku
Umeonaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto wa dady
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Woooiii
Nitakuwa nshaondoka kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaee
Hahaaaa aisee! Wonders shall never end!Usijali mamy... Nafikiri Unajua kuna mrembo anajiita Husna the boss lady... Wanaume weengi walimdondokea kweeeli, wengine wakagongana pm hukooo, kumbe ni dume bwana.... Linaitwa Otieno kwa id ingine, fundi wa vitanda!!!!!! Upoo
Shangaa na wewe mamy
Hahhaa halafu ndio hao nini wanaomba watumiwe nauli??Unafanyiwa interview, unatongozwa
Najenga Ndoa mpenzUnakumbatia mnoo
Kuna wapo wanajua wakifanyacho,Hivi nikijibadilisha jinsia humu napata faida gani? Hebu nisaidie mpnz kunifumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa duh! Watu wadukuzi jamaniKuna wapo wanajua wakifanyacho,
Japo Husna alisema mapema role mod... Wake ni Wema, sababu wema anapenda ku fake.
Hivyo alitoa majibu mapema kuwa yeye naye ni jike fake.
Sijui kwanini watu walishangaa alipoumbuliwa kuwa ni Eric Otieno???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shennnzzz veve...Usijali mamy... Nafikiri Unajua kuna mrembo anajiita Husna the boss lady... Wanaume weengi walimdondokea kweeeli, wengine wakagongana pm hukooo, kumbe ni dume bwana.... Linaitwa Otieno kwa id ingine, fundi wa vitanda!!!!!! Upoo