Najua hawezi kuwa mkweli kwa kila kitu but hili la jinsia siamini kabisa.Spoken well bro!haiwezekan husna awe me sio rahisi natamani aje ajitetee
Mods inabid wawe wanatoa grace period mtu kujisafisha!
DJ sepetu
Kwani uongo jamaniiJomonii dada [emoji134] [emoji134]
Muosha nini....???Bado dk tatu, Muosha naniliuu mwambie mgeni wetu aingie bhanaa
Ndo hapo sasaaaSiumbuagi mtu jmn nitafaidi nini?
Me kapole hivi dyadya [emoji4]Kwani uongo jamanii
AiseeeeNajua hawezi kuwa mkweli kwa kila kitu but hili la jinsia siamini kabisa.
Lakini yote yanabaki kuwa siri yake
HahahaMuosha nini....???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Hahaha
We umeona hapo tuu, acha uchochezi
HahahaMe kapole hivi dyadya [emoji4]
Mbona ameshasikia sasaaa[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Usiniseme kwa dada yangu emmyta lakini
Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.Spoken well bro!haiwezekan husna awe me sio rahisi natamani aje ajitetee
Mods inabid wawe wanatoa grace period mtu kujisafisha!
DJ sepetu
Najua hawezi kuwa mkweli kwa kila kitu but hili la jinsia siamini kabisa.
Lakini yote yanabaki kuwa siri yake
Bado bana usimuiteeMbona ameshasikia sasaaa
Miongoni mwa watu wenye mashaka na jinsia ni pamoja na uliyemtaja. Mimi sijataja mtu. Mwifwa wewe ni ndg yangu ujueMiss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.
Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).
Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa
Uzi ulifutwa
Aiseee huu uzi ulinipitaje hata sakayo kweli ulishindwa hata nipigia simu [emoji41][emoji41]Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.
Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).
Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa
Uzi ulifutwa
Unasema kweeeli mkuuMiss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.
Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).
Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa
Uzi ulifutwa
Rudi bwana, simuiti ila ukiniudhi tuu namwitaBado bana usimuitee
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahaMiongoni mwa watu wenye masha na jinsia ni pamoja na uliyemtaja. Mimi sijataja mtu. Mwifwa wewe ni ndg yangu ujue
Sikuuona mdogo wangu....Aiseee huu uzi ulinipitaje hata sakayo kweli ulishindwa hata nipigia simu [emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kushika tu haitoshi, inabidi uwe na kioo
Dada sitaki kuamini ujueSikuuona mdogo wangu....