Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Spoken well bro!haiwezekan husna awe me sio rahisi natamani aje ajitetee
Mods inabid wawe wanatoa grace period mtu kujisafisha!

DJ sepetu
Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.

Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).

Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa

Uzi ulifutwa
Najua hawezi kuwa mkweli kwa kila kitu but hili la jinsia siamini kabisa.
Lakini yote yanabaki kuwa siri yake
 
Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.

Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).

Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa

Uzi ulifutwa

Miongoni mwa watu wenye mashaka na jinsia ni pamoja na uliyemtaja. Mimi sijataja mtu. Mwifwa wewe ni ndg yangu ujue
 
Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.

Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).

Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa

Uzi ulifutwa

Aiseee huu uzi ulinipitaje hata sakayo kweli ulishindwa hata nipigia simu [emoji41][emoji41]
 
Miss Natafuta alishathibitisha kuwa husnathebosslady ni dume na pia ni rafiki yake, lakini huyo dume sio yule Erick ambayo Id ya husna iliunganishwa nayo.

Hayo aliyasema alipoanzisha uzi wa kuleta malalamiko kuwa analaumiwa na huyo rafiki yake ambaye husna(dume).

Mimi nilimbana Miss natafuta atutajie Id halisi ya bosslady lakini alikataa

Uzi ulifutwa

Unasema kweeeli mkuu
 
Back
Top Bottom