Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mie nimefanya nini sasaaaDada buana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimefanya nini sasaaaDada buana
Sasa aliongelea nini jamaan me sipendi mambo nusu nusu jamaanYaani ananiudhi na hivyo viemoj
Hapana we si unaelezea tu mbona miss natafuta hajapewa banNaweza nikaleza halafu mods wakalala mbele na mimi au huu uzi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unajifanya kama hutaki kusikia [emoji1]Mie nimefanya nini sasaaa
Lugha ya picha jamaniNini sasaaa... Mie sio bubu ujue
Muulize mwifwa mie keshaniudhiSasa aliongelea nini jamaan me sipendi mambo nusu nusu jamaan
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji117] [emoji117] [emoji120] [emoji120]Yaani ananiudhi na hivyo viemoj
Sa kama hataki jamanii nifanyejeUnajifanya kama hutaki kusikia [emoji1]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ebu kuja mwifwa jamaan unaenda wapi sasa
SawaaaaLugha ya picha jamani
Pale nimekubali na kushukuru pia
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Ile post yangu ni summary tosha zingine zilikuwa tu blahblah za watu kama unavyojua ushabiki.Hapana we si unaelezea tu mbona miss natafuta hajapewa ban
Na mie kaniudhi dada sipendi hizo mambo mieMuulize mwifwa mie keshaniudhi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Muulize mwifwa mie keshaniudhi
We Mwifwa Mungu anakuona ulikuja kututamanisha auSa kama hataki jamanii nifanyeje
Wewe jamaaan[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ooh kwahiyo ile iliyounganishwa sio iliunganishwa kimakosa basi huyo boss lady akuje aongeeIle post yangu ni summary tosha zingine zilikuwa tu blahblah za watu kama unavyojua ushabiki.
Binafsi nilijitahidi kumuhoji ataje Id halisi ya bosslady(rafiki yake) lakini alikataa
Kadri nilivyozidi kumuhoji uzi ukafutwa
[emoji115] [emoji115] [emoji119] [emoji119]We Mwifwa Mungu anakuona ulikuja kututamanisha au
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Wewe jamaaan
Ndio hivyooOoh kwahiyo ile iliyounganishwa sio iliunganishwa kimakosa basi huyo boss lady akuje aongee
SawaIle post yangu ni summary tosha zingine zilikuwa tu blahblah za watu kama unavyojua ushabiki.
Binafsi nilijitahidi kumuhoji ataje Id halisi ya bosslady(rafiki yake) lakini alikataa
Kadri nilivyozidi kumuhoji uzi ukafutwa
PoleNa mie kaniudhi dada sipendi hizo mambo mie