Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Hapana we si unaelezea tu mbona miss natafuta hajapewa ban
Ile post yangu ni summary tosha zingine zilikuwa tu blahblah za watu kama unavyojua ushabiki.

Binafsi nilijitahidi kumuhoji ataje Id halisi ya bosslady(rafiki yake) lakini alikataa
Kadri nilivyozidi kumuhoji uzi ukafutwa
 
Ooh kwahiyo ile iliyounganishwa sio iliunganishwa kimakosa basi huyo boss lady akuje aongee
 
Ooh kwahiyo ile iliyounganishwa sio iliunganishwa kimakosa basi huyo boss lady akuje aongee
Ndio hivyoo

Husna(dume) alipambwa kuwa ni msomi, mwenye hekima zake, kapochi nako...., Miss natafuta kaapa hasemi mambo yao yataenda mrama na hawezi kumsaliti.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom