AsanteKwa ufupi mimi ni mziwanda katika familia ya watoto wa5 mabinti wa4 wa kiume mmoja! Nimekulia katika familia ya kimaadili mtoto wa kanisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana emmyta hata mimi nakukubali sana!Kumbe hujalala bado bora ata.
Ila kiukweli huwa katika madada ninaowakubali huyu wa leo yumo na nina imani haitakuwa interview ya kitoto.
Karibu stable woman
Tuna appetite ya kukusikiliza
Koma, au tuondoke zetuViherehere hao!!!
Tupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
Hata mimi jaman huyu dada kama sky huwa nawafananishaKumbe hujalala bado bora ata. Mi nshaamka tayari.
Ila kiukweli huwa katika madada ninaowakubali huyu wa leo yumo na nina imani haitakuwa interview ya kitoto.
Karibu stable woman
Shukrani sana mumy.
TuliaNipo hapaaa
Natulia jaman dadaTulia
Nimemshangaa ujue. Ila basi tu.Koma, au tuondoke zetu
Kwakweli nimekuzwa kwenye hofu ya Mungu! Tangu utoto wangu naweza kusema hivyo!Asante
Maadili yepi mazuri ya kanisa
Uliyopewa ambayo unaweza sema yaah!
DJ sepetu
Nakwambia nimeutiki kabisaa... Notification zimeniamsha....Kumbe hujalala bado bora ata. Mi nshaamka tayari.
Ila kiukweli huwa katika madada ninaowakubali huyu wa leo yumo na nina imani haitakuwa interview ya kitoto.
Karibu stable woman
Asanteni sana pamoja sana!Huyu dada mstaarabu sana jaman karibu sana mamy
Tuna appetite ya kukusikiliza
Hivi ujue tukiondoka sie panapwaya hapa au hulijui hiloViherehere hao!!!
Tupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
HallelujahKwakweli nimekuzwa kwenye hofu ya Mungu! Tangu utoto wangu naweza kusema hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijiangalia wewe na labda mtu aliyekulia ktk orphanage mna tofauti gani iliyotokana na makuzi yenuKwakweli nimekuzwa kwenye hofu ya Mungu! Tangu utoto wangu naweza kusema hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yake inachemka...Nimemshangaa ujue. Ila basi tu.
Kabisa yaani lazima tuambulie mawili matatu humu. [emoji23]Nakwambia nimeutiki kabisaa... Notification zimeniamsha....
Leo ni kiutu uzima zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa yake inachemka...
Karibu Madam