DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #61
AsanteKwa ufupi mimi ni mziwanda katika familia ya watoto wa5 mabinti wa4 wa kiume mmoja! Nimekulia katika familia ya kimaadili mtoto wa kanisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadili yepi mazuri ya kanisa
Uliyopewa ambayo unaweza sema yaah!
DJ sepetu