Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Maisha ya shuleni nayakumbuka sana unajua sikukomaa saaana enzi nasoma utoto ulikuwa mwingi! Though nilisoma kayumba na nilikuwa nawaongoza! Shule yetu haikua na wanafunzi wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Six combination ipi umesoma!?
Somo gani ulilipenda zaidi kwann
Mwalimu yupi unadhani alikusaidia sana kuwa ulivyo Leo!

DJ sepetu
 
Six combination ipi umesoma!?
Somo gani ulilipenda zaidi kwann
Mwalimu yupi unadhani alikusaidia sana kuwa ulivyo Leo!

DJ sepetu
Bwana weeeh mimi nimesoma HKL yaani ni stori ndefu! Mwalimu alienisaidia mimi ni mwalimu wangu wa darasa la kwanza yule mzee Mungu amuweke! Ndio alienitoa ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana weeeh mimi nimesoma HKL yaani ni stori ndefu! Mwalimu alienisaidia mimi ni mwalimu wangu wa darasa la kwanza yule mzee Mungu amuweke! Ndio alienitoa ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkumbuka Otto von Bismarck
Kwa kipi ktk historia!!
Form six uliondoka na daraja lipi!?

DJ sepetu
 
Unamkumbuka Otto von Bismarck
Kwa kipi ktk historia!!
Form six uliondoka na daraja lipi!?

DJ sepetu
Otto Van namkumbuka aliitisha mkutano wa Berlin Conference 84-85! Historia yangu ya elimu niliyumba kidogo baada ya mzee wangu kufariki hivyo hata hii advance nlisoma informal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…