stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha u.s.e.n.g.e wewe
Okay punguza hasira tuko pamoja!😀 😀 boss am sorry usije nifukuza kazi bosi.
Six combination ipi umesoma!?Maisha ya shuleni nayakumbuka sana unajua sikukomaa saaana enzi nasoma utoto ulikuwa mwingi! Though nilisoma kayumba na nilikuwa nawaongoza! Shule yetu haikua na wanafunzi wengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana weeeh mimi nimesoma HKL yaani ni stori ndefu! Mwalimu alienisaidia mimi ni mwalimu wangu wa darasa la kwanza yule mzee Mungu amuweke! Ndio alienitoa ujingaSix combination ipi umesoma!?
Somo gani ulilipenda zaidi kwann
Mwalimu yupi unadhani alikusaidia sana kuwa ulivyo Leo!
DJ sepetu
Unamkumbuka Otto von BismarckBwana weeeh mimi nimesoma HKL yaani ni stori ndefu! Mwalimu alienisaidia mimi ni mwalimu wangu wa darasa la kwanza yule mzee Mungu amuweke! Ndio alienitoa ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Otto Van namkumbuka aliitisha mkutano wa Berlin Conference 84-85! Historia yangu ya elimu niliyumba kidogo baada ya mzee wangu kufariki hivyo hata hii advance nlisoma informalUnamkumbuka Otto von Bismarck
Kwa kipi ktk historia!!
Form six uliondoka na daraja lipi!?
DJ sepetu
Im sorry! Nilipata short call!Sixth ilani:stable woman unachelewa sana
DJ sepetu
Pole kwa kumpoteza mzee!Otto Van namkumbuka aliitisha mkutano wa Berlin Conference 84-85! Historia yangu ya elimu niliyumba kidogo baada ya mzee wangu kufariki hivyo hata hii advance nlisoma informal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa nitajitahidi kujibu! Haya ya shule nayasahau maana nimetingwa na ya utafutaji!Seven ilani:swali kama huna majibu yake unasema
DJ sepetu
I'm married but single![emoji3]Pole kwa kumpoteza mzee!
Umeolewa au una mchumba
DJ sepetu
Kwakweli yaani kikaango hiki! Raha kumsoma mwingine!Pole maswali Haya yanaweza kumpa mtu haja[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Nina mume lakini naishi mwenyewe! Nae yupo mbali kidogo anaweka mambo sawa ya maisha baada ya muda tutakuwa tena pamoja!Fafanua Tafadhali
DJ sepetu